Ustadhi: Ndoa nyingi za Kikristo zinadumu kuliko za Kiislam

Ustadhi: Ndoa nyingi za Kikristo zinadumu kuliko za Kiislam

Kudumu kwa ndoa hakutegemei dini,wala kabila,rangi, taifa au hali ya mtu, ila tabia mbovu na kutokuelewana kwa wanandoa kunawafanya waachane. Tuacheni udini.
 
Kudumu kwa ndoa hakutegemei dini,wala kabila,rangi, taifa au hali ya mtu, ila tabia mbovu na kutokuelewana kwa wanandoa kunawafanya waachane. Tuacheni udini.
Acha uongo, haya mambo ni ya kisoaholojia, kusema kwamba hakuhusiabi na kabila, Dini, Taifa we hujui kitu.

Socal construction, integrity, how certain society inavyo define family cohesion is a big factor for marriage life.
 
fire.
 
Ndoa zote hazidumu tofauti ni kuwa kuna upande wanawahi kurudi nyumbani na upande mwingine bado wanaendelea kukaa huku wakitengana kwa kuwa mlolongo wa kuvunja NDOA ni mkubwa..... wanaishi kimwili lakini kimoyo wamesha achana
 
Kitanda usicholalia hujui kunguni wake, ndoa nyingi za kikristo watu wanaishi kwa kujionyesha lakini ndani wanaishi vyumba tofauti hii imetokea kwa jirani zangu zaidi ya miaka 20 wanaishi hivyo. Ikatokea mtoto wao wa kiume ndoa yake ikavunjika tikatika siyo ile ya kugawana vyumba bali miji bila ya talaka wakiwa na mtoto 1. Miaka zaidi ya 7 yule kijana aliishi maisha uzinzi na ulevi mpaka alipoaga dunia kutokana na obesity + stress . Wakati hayo yanatokea there was another neighbour (muslim) ambaye ni age mate na marehemu ambaye wakati marehemu anaachwa hawakupishana mwaka na yeye akamtaliki mkewe akiwa na watoto 2, MIaka 8-9 yule muslim ameisha oa mke mwingine ana watoto wengine 2. Vuta picha wewe ndio mama wa marehemu

unakutana na hii familia mpya almost kila siku
 
Back
Top Bottom