Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Amechambua vema sana kwenye ile clipUstadhi anasema kutokana na Experience yake ndogo kwenye ndoa; amengundua kuwa ndoa nyingi za kikristo hudumu kuliko ndoa za kiislam Unakubaliana nae?
Hizo za Mikeka sasa, ziko kibao hadi kero.Ndoa za kiislamu ukitamka mara tatu talaka si mke/mume wangu biashara imeishia hapo..!!
Na unaweza kumtumia talaka mtalaka wako hata kwenye bus imfikie. Ndiomana wana ndoa za uji nyingi na za mkeka..!!
Yani mtu akidinda kidogo tu akijimix anakabidhiwa mke chap..!! 😹😹😹Hizo za Mikeka sasa, ziko kibao hadi kero.
Lol 😂😂😂
Kuna Dogo wiki hii anafunga Ndoa ya Kumi na Tatu toka nimemfahamu Mwaka 2015...
Na he is Only 34y.o..
Huenda Ustaadhi akawa sahihi kwenye Hoja yake..
Na ndio mana hata watoto wetu wa kiislam wengi hawaendi vizuri kimasomo continously kwasababu wanaathirika kisaikolojia pale wazazi wanapotengana, Mie Mwislam na nimelisema hili mara kadha wa kadha hasa Zanzibar hiiNdoa za kiislamu ukitamka mara tatu talaka si mke/mume wangu biashara imeishia hapo..!!
Na unaweza kumtumia talaka mtalaka wako hata kwenye bus imfikie. Ndiomana wana ndoa za uji nyingi na za mkeka..!!
Siku zote waathirika wakubwa wa wanandoa kuachana ni watoto.Na ndio mana hata watoto wetu wa kiislam wengi hawaendi vizuri kimasomo continously kwasababu wanaathirika kisaikolojia pale wazazi wanapotengana, Mie Mwislam na nimelisema hili mara kadha wa kadha hasa Zanzibar hii
Mkristo akiachika kuolewa ni mbinde, wanavumiliana ila upande wa pili ni chap.
Kuna shangazi yangu yupo ndoa ya 5, ni kuolewa na kuachika/chana tu.