Usumbufu wa paka mpaka kwenye kitimoto, serikali shughulikieni

Usumbufu wa paka mpaka kwenye kitimoto, serikali shughulikieni

Ni kweli isee paka wanaomba kama watu yaani unajikausha anakugusa mguu ili umwangalie anavyotia hurumaa..
Hii imeshakuwa kero kubwa sana kwenye Bar nyingi na hasa kama hupendi paka.
 
Jali wanyama ndugu wagaie kasehemu tu ka Mboga,
Pork for everybody
 
Serikali fanyeni mpango wa kuhasi paka wa Bar ili kuwapunguza, wamekuwa wengi sana mpaka kero, kuna paka leo kaniparua kiwiko cha mkono anataka nimpe kitimoto kwa lazima! hii haikubaliki.
My muslim brothers really amaze me. These negroes will sin in every possible way,stealing,fornicating,insulting,killing, but when it comes to eating pork that is where they draw the line. Ati its not halal. These guys will have a special fire for them in hell,a fire of hypocrisy
 
Hizo kitimoto zenu hazina mifupa na Yale mafuta?ukibakisha mfupa warushie
 
Back
Top Bottom