Usumbufu wa paka mpaka kwenye kitimoto, serikali shughulikieni

Usumbufu wa paka mpaka kwenye kitimoto, serikali shughulikieni

Na katika kampeni walizondua sijasikia likizungumziwa jambo hili
 
Yeah nimewafanyia hapa, wanafurahi na kuita wenzao
Hapa Lindi kuna chimbo la GRM mangrove kuna paka zaidi ya 10 aisee wakati mwingine wanakuwa kero ila wakati mwingine pia unafurahia show zao Hindi wanavyogombana..kiukweli me siamini kama paka anaweza kurukia nyama akapokonya
 

Attachments

  • 1757615307810.png
    1757615307810.png
    372.7 KB · Views: 21
Nilikua temeke mama wa watu aka dandiwa mapajani paka anataka mnofuu

Mama wa watu aliruka almanusra kudodosha mezaa binafsi Mimi ni adui wa mapaka ipo ivyo
Serikali fanyeni mpango wa kuhasi paka wa Bar ili kuwapunguza, wamekuwa wengi sana mpaka kero, kuna paka leo kaniparua kiwiko cha mkono anataka nimpe kitimoto kwa lazima! hii haikubaliki.
 
Ni kweli isee paka wanaomba kama watu yaani unajikausha anakugusa mguu ili umwangalie anavyotia hurumaa..
Mwonee huruma tu maana paka hafanyi kazi yeyote ile ya kujiingizia kipato cha kula kitimoto.
 
Serikali fanyeni mpango wa kuhasi paka wa Bar ili kuwapunguza, wamekuwa wengi sana mpaka kero, kuna paka leo kaniparua kiwiko cha mkono anataka nimpe kitimoto kwa lazima! hii haikubaliki.
Wewe sindo umeuliza ni sahihi mtu kula kila 1 mwenyewe?
 
Kuna changamoto nimeona, sehemu nyingi wanapouza kitimoto hawauzi robo.
 
Back
Top Bottom