Mnapenda kulakula sana peke yenu. Sharing is caring.Serikali fanyeni mpango wa kuhasi paka wa Bar kuwapunguza, wamekuwa wengi sana mpaka kero, kuna paka leo kaniparua kiwiko cha mkono anataka nimpe kitimoto kwa lazima! hii haikubaliki.
Aah mie sio paka mkuu, hao haki yaoHahaha wewe ukipewa mfupa unakula mkuu
Serikali fanyeni mpango wa kuhasi paka wa Bar kuwapunguza, wamekuwa wengi sana mpaka kero, kuna paka leo kaniparua kiwiko cha mkono anataka nimpe kitimoto kwa lazima! hii haikubaliki.
Sasa unawapa mifupa watatoshekajeTatizo hata ukiwapa nyama hwatosheki, wanakula wanarudi tena tu kusumbua.
Halafu kitimoto cha kuwalisha paka watatu nitawezeje??
My muslim brothers really amaze me. These negroes will sin in every possible way,stealing,fornicating,insulting,killing, but when it comes to eating pork that is where they draw the line. Ati its not halal. These guys will have a special fire for them in hell,a fire of hypocrisySerikali fanyeni mpango wa kuhasi paka wa Bar ili kuwapunguza, wamekuwa wengi sana mpaka kero, kuna paka leo kaniparua kiwiko cha mkono anataka nimpe kitimoto kwa lazima! hii haikubaliki.
Paka wa sikuhizi wamekuwa wavivu kuwinda panya, paka linatia huruma ukiweka Tonge mdomoni ananyanyua macho ukitafanu yeye anameza