Uswizi yatangaza kuzuia zaidi ya Tsh. Trilioni 350 za Warusi

Huu mgogoro wa Urussi Ukrane utaifanya Dunia ibadilike sana.

Tuombee tu Urussi ashinde hii operation,mambo na mitazamo mingi sana itabadilika.
Hofu yangu ni kuwa, Russia akizidiwa kete anaweza akanyanyua ICBMs zake.
 
Hofu yangu ni kuwa, Russia akizidiwa kete anaweza akanyanyua ICBMs zake.

Hii vita Ukrane ametolewa kafara tu, ndio maana husikii Marekani akisema mazungumzo ya amani zaidi ya kuahidi misaada ya silaha tu kwa Ukrane.

Bila Marekani kutoa kauli ya amani, Ukrane inaenda kuwa majivu. Na kauli ya Marekani hawezi kuitoa sababu itaonekana Urusi ndio mshindi.

Hapa inahitajika busara na akili za kujiongeza za Rais wa Ukrane kumaliza huu mgogoro.
 
Mkuu, sio kwamba hapa target ni kumwondoa putin? Yaan putin avamie Ukraine, akishavamia atakutana na vikwazo, vikwazo vitamfanya awe masikini ili wananchi wake waondoe imani kwake?

Ni kweli mkuu, Intelligence ya Ukraine ni weak kiasi wasitambue kama wanatumika kama chambo? Au kuna mahala nao wamebanwa na US?
 
VIVA PUTIN [emoji122][emoji122][emoji122][emoji4][emoji4]
 
....And the sanctions lifting will be linked to the stepping down of Putin as the Russian president and the Russian government's pledge to pay the war reparations to Ukraine.

It will surely be a tall order for the east European country.
POLE kama uko ndotoni amka
 
Halafu baadae vipuri za hizo ndege watavipata wapi?
 
Putin akachukue mali za taifa zilizoporwa, alianzishe na wote waliojimilikisha mali zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…