Uswizi yatangaza kuzuia zaidi ya Tsh. Trilioni 350 za Warusi

Safi sana
Huo ni uoga wa marekani,hapo ndo mjue marekani anamuogopa Russia kama kifo.hasira za kumshindwa Putin anazimalizia kwa raia.hilo ni shinikizo la muoga USA. Putin goooo,tembeza kichapo Hadi adabu iwarudie!!
 
Yaani kwamba warussia wanaona bora waweke hela zao nchi za kibeberu maana huko russia na nchi za kijamaa kama korea ya kaskazini, china inaonekana hapatoshi halaf watu wakisema uchumi wa dunia umeshikiliwa na nchi za magharibi warusi wa mchambawima, mwembekiuno kwa mpalange na matombo wanabisha 😀😛
 
Watupe huku Tanzania hizo pesa za huyo Jambazi tufanyie kazi za maendeleo
 
Hii vita ipo ulimwengu wa roho na matokeo ya vita hii ni uharibifu mkubwa sana wa uchumi ulimwengu mzima ambao utapelekea na umeshaanza kupelekea maisha ya watu kuwa magumu ambapo mwisho wa siku kuna mifumo mipya ya kuendesha maisha ya watu inaibuka na mingine haitawaacha salama wanadamu watajikuta njia panda either wamtegemee Mungu an wamtegemee shetani katika kuendesha maisha ya kila siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…