Uswizi yatangaza kuzuia zaidi ya Tsh. Trilioni 350 za Warusi

Uswizi yatangaza kuzuia zaidi ya Tsh. Trilioni 350 za Warusi

Safi sana
Huo ni uoga wa marekani,hapo ndo mjue marekani anamuogopa Russia kama kifo.hasira za kumshindwa Putin anazimalizia kwa raia.hilo ni shinikizo la muoga USA. Putin goooo,tembeza kichapo Hadi adabu iwarudie!!
 
Jumuiya ya Wanabenki wa Uswizi imetangaza kuwa raia wa Urusi wameweka kati ya Dola bilioni 160 - 213 nchini humo. Fedha hizo ni sawa na Tsh. Trilioni 372 – 495.

Mbali na #Uswizi kusifiwa kwa utunzaji wa taarifa za wateja Rais wa Nchi hiyo, Ignazio Cassis amesema watazuia fedha hizo za Rais Vladimir Putin, wanasiasa na wafanyabiashara.

Urusi imewekewa vikwazo na Jumuiya ya Ulaya (EU) kutokana na mashambulio ambayo #Urusi ameendelea kuyatekeleza dhidi ya #Ukraine
===

Swiss banks disclose how much Russian money they hold

The Swiss Bankers Association revealed there’s around $160-$213bn of Russian clients’ money held in Swiss accounts.

Swiss banks are usually prized for their anonymity and safety, the rare estimation of holdings by Russian clients being made amid sanctions slapped on Moscow.

Setting aside the tradition of neutrality, President Ignazio Cassis announced that Switzerland would freeze the assets of Russian President Vladimir Putin and 370 politicians and businessmen sanctioned by the EU.

Subscribe to RT t.me/rtnews
Yaani kwamba warussia wanaona bora waweke hela zao nchi za kibeberu maana huko russia na nchi za kijamaa kama korea ya kaskazini, china inaonekana hapatoshi halaf watu wakisema uchumi wa dunia umeshikiliwa na nchi za magharibi warusi wa mchambawima, mwembekiuno kwa mpalange na matombo wanabisha 😀😛
 
Watupe huku Tanzania hizo pesa za huyo Jambazi tufanyie kazi za maendeleo
 
Naona vikwazo vitainua hasira ya wananchi kwa putin. Ishu ya uchumi hakuna taifa laweza kuvumilia, hasa ktk mgogoro huu Ukraine.

Russia atazima vyombo vya habar vya ndani, ila hakika watu wake wameanza kuona joto la uchumi. Mambo yakienda hivi, mwezi ujao tutasikia mengi.

Mungu uturehemu watu wako, tumekosa sisi.
Hii vita ipo ulimwengu wa roho na matokeo ya vita hii ni uharibifu mkubwa sana wa uchumi ulimwengu mzima ambao utapelekea na umeshaanza kupelekea maisha ya watu kuwa magumu ambapo mwisho wa siku kuna mifumo mipya ya kuendesha maisha ya watu inaibuka na mingine haitawaacha salama wanadamu watajikuta njia panda either wamtegemee Mungu an wamtegemee shetani katika kuendesha maisha ya kila siku.
 
Back
Top Bottom