mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Unauliza Bomu la nyuklia kwa Kim.Hivi ni kweli umepatia [emoji15] [emoji15]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unauliza Bomu la nyuklia kwa Kim.Hivi ni kweli umepatia [emoji15] [emoji15]
Salama mwana JF mwenzanguAcha kutudanganya na utabiri wako hewa wewe ,maana utakavyotabiri hapa ili sisi tukaweke mkeka kwa mkeka wako wa jana kama ulitabiri hiv kwa mhind umeliwa utabir ni dakka 90, ushind wa 120 kwenye kubet hakupo ,watu jana walioweka bayern win wamekula sana maana dakka 90 kashinda
Ww ni kiboko aseLeo ni tarehe 19/4
Ba= 2+1+19=22
Ju=10+21+19=50
Wote wana namba shufwa , hawalingani na tarehe ,wanalingana na mwezi
Hivo hii mechi naipa droo
NB:ni mtizamo wangu tu
Kuna wakati hesabu zina kataa mkuu.msije leta lawamaAweke2 hapa tumfaidi wote muhindi
asee nilimpa like ila ikabidi niitengue baada ya kuona ulivo msahihishaSio kweli, hiyo herufi L kwa Liverpool inasimama kama 12 na si 13 na hiyo W kwa West Brom ni 23 na sio 24