Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hadi Moyes aliichapa Barcelona akachukua credit kibao.....kumbe sio yeye bali ni timuMimi si mshabiki wa Barca ila barca hafanyi vizur pindi anapocheza na reak sociedad yaan huwa inamsumbua saana kwa hyo hicho sio kipimo cha kuipima barca na makombe
tuendelee kutega sikio .hawatachukua kombe lolote?
hii post yako imekaa kihisia zaidi kuliko kiuchambuzi, labda ungesema "inaweza isichukue kombe lolote " ingeonekana smart kidogo
Barcelona wanaongoza ligi ambayo inakaribia kuisha kwa point 3, copa del rey wapo hatua za mwishoni na Uefa wapo robo fainali, na tayari wameshashinda nyumbani
sasa ni mtu gani atasema haitachukua lolote?
hilo la kufungwa na real sociedad linatokea, ile ni ligi na kuchukua ligi haimaanishi ufunge kila timu kibonde,
Mimi ni simba damu , kundi letu ndio lilihakikisha Rage anatimuliwa , yanga inaweza kufanya maajabu misri .Hebu itabirie Yanga ili wapenzi wajue
bado unaendelea kuniita sheikh yahaya ?sawa sawa sheikh yahya nakuaminia
asante kwa andiko zuri , tuendelee kufuatilia hadi mwisho wa msimu .Big up man.. Mleta mada anabonga tu.. Hata historia hajui. Hili ni tatizo la kujadili soka na watu walioanza kushabikia soka mwaka jana.
Barca ni dhaifu sana kwa hii timu ya Real Sociedad hasa wakiwa kwny uwanja wao. Hii si ticket ya kusema kwamba ubingwa bas. Mpira unadunda mwn
napenda itokee wasichukue ila watachukuawakuu yatayotokea mwisho wa msimu msije kuniita mchawi .
Kama vile nakuona ukiwa chini ya uvunguviroba ni hatari kwa afya ya vijana hii ni pointless viva barcelona wazee wa trebo
huu ni mwanzo wa mwisho wa barcelona , chukua hii mjomba , inauma sana lakini tutafanyaje ?napenda itokee wasichukue ila watachukua
omba Mungu wasikutane na Atletico .haha real madrid sasa rasmi naona kama fainali watakutana na Bayern Munch
Ha! Ha! Haaaa!!!!Kama vile nakuona ukiwa chini ya uvungu
ngoja mimi nihifadhi maneno mkuu , so many hills and Valleys.Final is bayern Munich vs real Madrid and the champion is bayern Munich
Mara nying Kumari inahitaj uwenda wazimungoja mimi nihifadhi maneno mkuu , so many hills and Valleys.
atletico hakuna anayeijua , wanaojulikana ni wawili tu , Diego simeon na Torres , hii timu ni noma mkuu .Mara nying Kumari inahitaj uwenda wazimu
Kuna jamaa pale England yy pekee yake aliwatabiria Leicester city the foxes kuwa watatwaa ubingwa
Bado point 9 jamaa awe Tajiri au achaniwe mkeka
Bayern itamchapa atletico kutokana na gardiola kuijua vema
Madrid watashinda kwa sababu ya legacy yao