Utabiri - Barcelona haitatwaa ubingwa wowote msimu huu

Utabiri - Barcelona haitatwaa ubingwa wowote msimu huu

hawatachukua kombe lolote?
hii post yako imekaa kihisia zaidi kuliko kiuchambuzi, labda ungesema "inaweza isichukue kombe lolote " ingeonekana smart kidogo
Barcelona wanaongoza ligi ambayo inakaribia kuisha kwa point 3, copa del rey wapo hatua za mwishoni na Uefa wapo robo fainali, na tayari wameshashinda nyumbani
sasa ni mtu gani atasema haitachukua lolote?
hilo la kufungwa na real sociedad linatokea, ile ni ligi na kuchukua ligi haimaanishi ufunge kila timu kibonde,
tuendelee kutega sikio .
 
Big up man.. Mleta mada anabonga tu.. Hata historia hajui. Hili ni tatizo la kujadili soka na watu walioanza kushabikia soka mwaka jana.
Barca ni dhaifu sana kwa hii timu ya Real Sociedad hasa wakiwa kwny uwanja wao. Hii si ticket ya kusema kwamba ubingwa bas. Mpira unadunda mwn
asante kwa andiko zuri , tuendelee kufuatilia hadi mwisho wa msimu .
 
ngoja mimi nihifadhi maneno mkuu , so many hills and Valleys.
Mara nying Kumari inahitaj uwenda wazimu

Kuna jamaa pale England yy pekee yake aliwatabiria Leicester city the foxes kuwa watatwaa ubingwa

Bado point 9 jamaa awe Tajiri au achaniwe mkeka

Bayern itamchapa atletico kutokana na gardiola kuijua vema

Madrid watashinda kwa sababu ya legacy yao
 
atletico hakuna anayeijua , wanaojulikana ni wawili tu , Diego simeon na Torres , hii timu ni noma mkuu .
 
Back
Top Bottom