Sumve 2015
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 4,563
- 4,227
Hapana mkuu, pressure vile tulikuwa tunashambuliwa.Uliweka stake ya milion
Sitaz 7Msimamo wa kundi umekaaje?.
Bado haujaisha, tusubiri dakika 90 Benin atashinda 1-0 kama utopoloKwani ndiyo mpira umekwisha? Maana kuna kutangulia kwa baiskeli ya miti.
Kwa nini sasa wanamlenga? JF hii ina wachawi wengiNyingi wamemlenga. Wakipiga vichwa vya pembeni sijui kama atatubeba Manula
Mpumbavu wewe, huna akili.
Mungu mbariki Manura.
Yaani Madagascar wamoto hatari
Mchawi hatoki mbaliacha uchawi hii mechi tunashinda