UTABIRI: Bernard Membe kumrithi Rais Samia S. Hassan

DustBin

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2021
Posts
609
Reaction score
604
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri.

Huu ni utabiri wangu wa kimaono. Mwenye Presidential Image ndani ya CCM kwa sasa sioni zaidi ya BCM a.k.a kachero mbobezi.

Pamoja na uzoefu wake ktk siasa, wenyeji ktk chama, na weledi wa mambo ya kimataifa BCM ana ziada ya mvuto wa nafasi ya urais.

Ni wazi kabisa, baada ya Mhe. Rais SSH kumaliza muda wake BCM anaenda kukalia kiti.

Mtakuja kunikumbuka..! Tuombe uhai

DustBin
 
Mradi yupo CCM haina noma, hata Polepole na Bashiru, ngoja tushauri Bashiru au PolePole aende kuhamia upinzani, ili apewe nafasi ya kugombea Uraisi huko.
 
Mradi yupo CCM haina noma ,hata Polepole na Bashiru ,ngoja tushauri Bashiru au PolePole aende kuhamia upinzani ,ili apewe nafasi ya kugombea Uraisi huko.
Hhahahha mkuu unawatakia mema??
 
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri.

Huu ni utabiri wangu wa kimaono. Mwenye Presidential Image ndani ya CCM kwa sasa sioni zaidi ya BCM a.k.a kachero mbobezi.

Pamoja na uzoefu wake ktk siasa, wenyeji ktk chama, na weledi wa mambo ya kimataifa BCM ana ziada ya mvuto wa nafasi ya urais.

Ni wazi kabisa, baada ya Mhe. Rais SSH kumaliza muda wake BCM anaenda kukalia kiti.

Mtakuja kunikumbuka..! Tuombe uhai

DustBin
Mnamchonganisha tena na Rais?? Acheni kumbipu atapiga.
 
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri.

Huu ni utabiri wangu wa kimaono. Mwenye Presidential Image ndani ya CCM kwa sasa sioni zaidi ya BCM a.k.a kachero mbobezi.

Pamoja na uzoefu wake ktk siasa, wenyeji ktk chama, na weledi wa mambo ya kimataifa BCM ana ziada ya mvuto wa nafasi ya urais.

Ni wazi kabisa, baada ya Mhe. Rais SSH kumaliza muda wake BCM anaenda kukalia kiti.

Mtakuja kunikumbuka..! Tuombe uhai

DustBin
Ni kweli ikiwa wale King makers watakuwa bado wapo sioni wenye nguvu za kuwashinda matakwa yao na Raisi mara nyingi uwa anapangwa na Deep state sio na majority
 
Ufanye na utabiri wa kuongezeka ajira, kupanda kiuchumi, kupunguza umasikini n.k.
 
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri.

Huu ni utabiri wangu wa kimaono. Mwenye Presidential Image ndani ya CCM kwa sasa sioni zaidi ya BCM a.k.a kachero mbobezi.

Pamoja na uzoefu wake ktk siasa, wenyeji ktk chama, na weledi wa mambo ya kimataifa BCM ana ziada ya mvuto wa nafasi ya urais.

Ni wazi kabisa, baada ya Mhe. Rais SSH kumaliza muda wake BCM anaenda kukalia kiti.

Mtakuja kunikumbuka..! Tuombe uhai

DustBin
Nimependa Jina lako tu. Kila kitu kimeishia humo.
 
Sifa zote hizo hazina maana,ungesema tu ndo mtu JK alitaka amrithishe ili Mambo yake yawe salama.
Kwasababu Msoga gang iko ulingoni nani atabisha,?
 
Back
Top Bottom