UTABIRI: Bernard Membe kumrithi Rais Samia S. Hassan

Naomba muhifadhi hii thread..., baada ya miaka kadhaa mtakuja kunisadiki
Ni kweli kuna kitu kinapikwa kikiiva watakileta sebuleni!!!Mahojiano yake na gazeti la jamhuri pia ushindi wake wa kesi dhidi musiba sio bure ni njia ya kumsafisha Kachero!!!
 
Membe amrithi nani? We hujui siasa za siku hizi? Siku hizi rais anayumba,anapepesuka,anafia madarakani.
Lakini hakuna kitu ambacho hakiwezi kutabirika. Ingawa rais hawezi kufurahi watu wamtabirie mabaya.
Aristotle alisema hakuna kitu(whatsoever) kitakachotokea mwaka kesho ambacho wewe huwezi kusema sasa hivi kwamba kitatokea.
Katika Hesabu zinaitwa probabilities. Kila kitu kinatabirika. Kama Samia Suluhu ni rais sasa hivi, ina maana wapo watu miaka miwili iliyopita ambao walijua itatokea.
Hakuna kitu ambacho hakiwezi kutabirika.
Sasa hapa tunaye rais hana vigorous intellect kama mtangulizi wake. Ndio maana no one is critising this president. Umlaumu kwa jambo gani? Kwa jambo aliloambiwa akazungumze?
 
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri.

Huu ni utabiri wangu wa kimaono. Mwenye Presidential Image ndani ya CCM kwa sasa sioni zaidi ya BCM a.k.a kachero mbobezi.

Pamoja na uzoefu wake ktk siasa, wenyeji ktk chama, na weledi wa mambo ya kimataifa BCM ana ziada ya mvuto wa nafasi ya urais.

Ni wazi kabisa, baada ya Mhe. Rais SSH kumaliza muda wake BCM anaenda kukalia kiti.

Mtakuja kunikumbuka..! Tuombe uhai

DustBin
vipi kuhusu umri wake mkuu..?
 
Wewe ndio Membe unajipigia kampeni lakini kumbuka ukianza kuota ndoto za mchana ujue karibu utakuwa chizi.
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri.

Huu ni utabiri wangu wa kimaono. Mwenye Presidential Image ndani ya CCM kwa sasa sioni zaidi ya BCM a.k.a kachero mbobezi.

Pamoja na uzoefu wake ktk siasa, wenyeji ktk chama, na weledi wa mambo ya kimataifa BCM ana ziada ya mvuto wa nafasi ya urais.

Ni wazi kabisa, baada ya Mhe. Rais SSH kumaliza muda wake BCM anaenda kukalia kiti.

Mtakuja kunikumbuka..! Tuombe uhai

DustBin
 
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri.

Huu ni utabiri wangu wa kimaono. Mwenye Presidential Image ndani ya CCM kwa sasa sioni zaidi ya BCM a.k.a kachero mbobezi.

Pamoja na uzoefu wake ktk siasa, wenyeji ktk chama, na weledi wa mambo ya kimataifa BCM ana ziada ya mvuto wa nafasi ya urais.

Ni wazi kabisa, baada ya Mhe. Rais SSH kumaliza muda wake BCM anaenda kukalia kiti.

Mtakuja kunikumbuka..! Tuombe uhai

DustBin
Leo ni 2021, November 17. Miaka 9 ijayo ni safari ndefu. Tuupe muda nafasi. Utatoa majibu mujarabu
 
Ndio maana mabwawa na mito 'inakauka'.
Nimepita posta nimesikitishwa na ninachokisikia. MAJENERETA YAKIPIGA KELELE. Ni muda sana sikusikia hizi kelele. Kariakoo bila shaka kutakua balaa...
 
Jua kali.., mabadiliko tabia ya nchi
 
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri.

Huu ni utabiri wangu wa kimaono. Mwenye Presidential Image ndani ya CCM kwa sasa sioni zaidi ya BCM a.k.a kachero mbobezi.

Pamoja na uzoefu wake ktk siasa, wenyeji ktk chama, na weledi wa mambo ya kimataifa BCM ana ziada ya mvuto wa nafasi ya urais.

Ni wazi kabisa, baada ya Mhe. Rais SSH kumaliza muda wake BCM anaenda kukalia kiti.

Mtakuja kunikumbuka..! Tuombe uhai

DustBin
Siwezi kukubishia hayo ni maoni yako na haki yako ya kikatiba on freedom of expression.
 
Back
Top Bottom