Mnamchonganisha tena na Rais?? Acheni kumbipu atapiga.Nawasalimu kwa jina la Jamhuri.
Huu ni utabiri wangu wa kimaono. Mwenye Presidential Image ndani ya CCM kwa sasa sioni zaidi ya BCM a.k.a kachero mbobezi.
Pamoja na uzoefu wake ktk siasa, wenyeji ktk chama, na weledi wa mambo ya kimataifa BCM ana ziada ya mvuto wa nafasi ya urais.
Ni wazi kabisa, baada ya Mhe. Rais SSH kumaliza muda wake BCM anaenda kukalia kiti.
Mtakuja kunikumbuka..! Tuombe uhai
DustBin
Ni kweli ikiwa wale King makers watakuwa bado wapo sioni wenye nguvu za kuwashinda matakwa yao na Raisi mara nyingi uwa anapangwa na Deep state sio na majorityNawasalimu kwa jina la Jamhuri.
Huu ni utabiri wangu wa kimaono. Mwenye Presidential Image ndani ya CCM kwa sasa sioni zaidi ya BCM a.k.a kachero mbobezi.
Pamoja na uzoefu wake ktk siasa, wenyeji ktk chama, na weledi wa mambo ya kimataifa BCM ana ziada ya mvuto wa nafasi ya urais.
Ni wazi kabisa, baada ya Mhe. Rais SSH kumaliza muda wake BCM anaenda kukalia kiti.
Mtakuja kunikumbuka..! Tuombe uhai
DustBin
Nimependa Jina lako tu. Kila kitu kimeishia humo.Nawasalimu kwa jina la Jamhuri.