UTABIRI: Bernard Membe kumrithi Rais Samia S. Hassan

Unapataga wapi muda wa kufikiri upuuzi huu.
 
wengi hatupendi kubashiri, lakini wenzetu na wanataalauma wanalijua jabo hili.

Ni lazima kujiuliza ni nai atashika baada ya bib mkubwa
 
Membe atatufaa 2025, huyu Mama tayari ameshindwa kazi. Rais gani hajui hata majukumu yake
 
Mkuu DustBin , hii inaweza kuwa kweli endapo Samia atapuuzia sauti hii Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke, hivyo nimesikia 2025 VP Dr. Mpango atapumzishwa na kumteua BCM kuwa VP, hivyo kuja kuwa rais wetu kama vile!.
Naomba msiniulize kama vile vipi?.
P
 
Chawa mnajisikiaje sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…