Utabiri: Halima Mdee na Wenzake 18 watahamia ACT Wazalendo au Umoja Party kama sio kuteuliwa Serikalini

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Huu ndio utabiri wangu kwa wale wabunge waliovuliwa uanachama na Baraza Kuu la CHADEMA.

Hata hivyo, Mama kupitia washauri wake, anaweza kuwapa baadhi yao nafaai za uteuzi serikalini hasa Mdee wakiamini kufanya hivyo ni kuwakomoa CHADEMA wakati ni kuwamaliza kabisa kisiasa wanawake hawa.

Muda utahibitisha.
 
Muda utahibitisha
Kwa siasa zetu yote yanawezekana.wakati mwingine ndio shida ya demokrasia baada ya muda watu kama akina mdee wanakuja kuwa viongozi.sasa kiongozi kama huyo si atakuwa mla rushwa.
 
Huu ndio utabiri wangu kwa wale wabunge waliovuliwa uanachama na Baraza Kuu la CHADEMA.

Hata hivyo, Mama kupitia washauri wake, anaweza kuwapa baadhi yao nafaai za uteuzi serikalini hasa Mdee wakiamini kufanya hivyo ni kuwakomoa CHADEMA wakati ni kuwamaliza kabisa kisiasa wanawake hawa.

Muda utahibitisha
Naunga mkono hoja, baadhi yao, akiwemo Halima Mdee na Esta Bulaya, hawa ni wanasiasa very good assets kisiasa, Chadema turned these assets into liabilities. Kama hawakutendewa haki, kiukweli kabisa, karma itaitafuna Chadema!.
Karibu mitaa hii A Kangaroo Court Moja, Kutoa Hukumu Kikangaroo, Kisha Kikao cha Rufaa, Kikiyabariki Maamuzi yale ya Kikangaroo. Je, nacho ni A Kangaroo?, dhulma za aina hii, husababisha karma zisizo za lazima kabisa kwa Chadema kama chama, na kwa individual players!.
P.
 
Kwaiyo brother pascal unaamini hukumu ya kina mdee ni batili hawajatendewa sawa? tupe fact zako mkuu
 
Huu ndio utabiri wangu kwa wale wabunge waliovuliwa uanachama na Baraza Kuu la CHADEMA.

Hata hivyo, Mama kupitia washauri wake, anaweza kuwapa baadhi yao nafaai za uteuzi serikalini hasa Mdee wakiamini kufanya hivyo ni kuwakomoa CHADEMA wakati ni kuwamaliza kabisa kisiasa wanawake hawa.

Muda utahibitisha
Easter Bulaya na Mdee wapewe ukuu wa Mkoa, napendekeza Halima apelekwe Arusha au Kilimanjaro.

Au laa, Mdee apewe viti maalum CCM kuziba pengo la yule aliyefariki juzi
 
Waende Mahakamani

CHADEMA haina rekodi nzuri ya kuzingatia katiba ktk kuwafukuza wanachama
 
Easter Bulaya na Mdee wapewe ukuu wa Mkoa, napendekeza Halima apelekwe Arusha au Kilimanjaro.

Au laa, Mdee apewe viti maalum CCM kuziba pengo la yule aliyefariki juzi
Sio rahisi kwa CCM kumpa Mdee ubunge viti maalum wapo wana CCM kindakindaki kwenye list ya viti maalum wanangojea nafasi yoyote ya wazi itakayopatikana.

CCM hii ya Shaka, Kinana na Chongolo mamluki hawana nafasi.

Labda ukuu wa wilaya na ukurugenzi wa halmashauri maana ni maamuzi ya Rais kikatiba.
 
Naunga mkono hoja, baadhi yao, akiwemo Halima Mdee na Esta Bulaya, hawa ni wanasiasa very good assets kisiasa, Chadema turned these assets into liabilities. Kama hawakutendewa haki, kiukweli kabisa, karma itaitafuna Chadema!.
Karibu mitaa hii A Kangaroo Court Moja, Kutoa Hukumu Kikangaroo, Kisha Kikao cha Rufaa, Kikiyabariki Maamuzi yale ya Kikangaroo. Je, nacho ni A Kangaroo?, dhulma za aina hii, husababisha karma zisizo za lazima kabisa kwa Chadema kama chama, na kwa individual players!.
P.
Tunajua wewe ni kada mtiifu kwahiyo hatukushangai.
 
Naunga mkono hoja, baadhi yao, akiwemo Halima Mdee na Esta Bulaya, hawa ni wanasiasa very good assets kisiasa, Chadema turned these assets into liabilities. Kama hawakutendewa haki, kiukweli kabisa, karma itaitafuna Chadema!.
Karibu mitaa hii A Kangaroo Court Moja, Kutoa Hukumu Kikangaroo, Kisha Kikao cha Rufaa, Kikiyabariki Maamuzi yale ya Kikangaroo. Je, nacho ni A Kangaroo?, dhulma za aina hii, husababisha karma zisizo za lazima kabisa kwa Chadema kama chama, na kwa individual players!.
P.
Peleka unafiki kenge maji wewe...

wewe Karma ya Mama yake Kabendera itakutafuna milele yote ...
 
Hakun
Naunga mkono hoja, baadhi yao, akiwemo Halima Mdee na Esta Bulaya, hawa ni wanasiasa very good assets kisiasa, Chadema turned these assets into liabilities. Kama hawakutendewa haki, kiukweli kabisa, karma itaitafuna Chadema!.
Karibu mitaa hii A Kangaroo Court Moja, Kutoa Hukumu Kikangaroo, Kisha Kikao cha Rufaa, Kikiyabariki Maamuzi yale ya Kikangaroo. Je, nacho ni A Kangaroo?, dhulma za aina hii, husababisha karma zisizo za lazima kabisa kwa Chadema kama chama, na kwa individual players!.
P

Hakuna jambo kama Hilo P. Kama Kweli wanaipenda CHADEMA warudishe pesa zetu, WATUBU, ndo waombe upya Uanachama watapokelewa.
 
Hao wote nje ya CDM hakuna umaarufu wao tena ni aidha watubu warudishwe laa ndiyo kwa heri kwenye uga wa siasa. Fanya research tu wale wote walioondoka in the name of kuunga juhudi kama unawasikia tena ni kama hawaexist hata kama wanavyeo vingine
 
Naunga mkono hoja, baadhi yao, akiwemo Halima Mdee na Esta Bulaya, hawa ni wanasiasa very good assets kisiasa, Chadema turned these assets into liabilities. Kama hawakutendewa haki, kiukweli kabisa, karma itaitafuna Chadema!.
Karibu mitaa hii A Kangaroo Court Moja, Kutoa Hukumu Kikangaroo, Kisha Kikao cha Rufaa, Kikiyabariki Maamuzi yale ya Kikangaroo. Je, nacho ni A Kangaroo?, dhulma za aina hii, husababisha karma zisizo za lazima kabisa kwa Chadema kama chama, na kwa individual players!.
P.
Naona Paskali umeamua kuona kama chama kimewatendea sivyo kina Mdee?
Huku jana Kura nazo zilivyopigwa zimepigwa kwa uwazi na wao wakiona kama vile chama chenu CCM mlipiga kura zile za kumtafta mgombea uraisi mkatudanganya mzee kapata asilimia 100 tuliwahoji???
tulisema mmedanganya??
ifikie hatua muheshimu mawazo ya vyama na kile kilichofanyika chadema ndio demokrasia Mdee is a good politician lakini kakosea yeye ni nani eti?

kisa we Kichwa cha shule ndio usifukuzwe huku umekosea?
 
Mwanachama yeyote akiamua kuwa MSALITI anahama Kutoka kuwa ASSET kwenda kuwa LIABILITY. By the way wamekisababishia chama hasara Kwa kung'ang'ania Bungeni muda mrefu.
 
Naona Paskali umeamua kuona kama chama kimewatendea sivyo kina Mdee?
Huku jana Kura nazo zilivyopigwa zimepigwa kwa uwazi na wao wakiona kama vile chama chenu CCM mlipiga kura zile za kumtafta mgombea uraisi mkatudanganya mzee kapata asilimia 100 tuliwahoji???
tulisema mmedanganya??
ifikie hatua muheshimu mawazo ya vyama na kile kilichofanyika chadema ndio demokrasia Mdee is a good politician lakini kakosea yeye ni nani eti?

kisa we Kichwa cha shule ndio usifukuzwe huku umekosea?
Mkuu THE FIRST BORN , nimepandisha uzi maalum kuhusu hilo. A Kangaroo Court Moja, Kutoa Hukumu Kikangaroo, Kisha Kikao cha Rufaa, Kikiyabariki Maamuzi yale ya Kikangaroo. Je, nacho ni A Kangaroo? . Kikao cha Baraza Kuu ni kikao halali, na kura zimepigwa kihalali kubariki maamuzi ya CC batili, na kufukuzwa kule, ni kufukuzwa batili, hivyo Baraza Kuu limebariki ubatili wa CC, jambo lolote lilotanguliwa na ubatili, hata liwe zuri kiasi gani, ni batili!.
P
 
Kama wanataka longevity wangeungana na Dr. Slaa kuja na chama chenye sura nyingine kitachosemea watu wa chini na kisipoteze muda kutukana vyama vingine.
CCM na CDM havina jipya.
 
Huu ndio utabiri wangu kwa wale wabunge waliovuliwa uanachama na Baraza Kuu la CHADEMA.

Hata hivyo, Mama kupitia washauri wake, anaweza kuwapa baadhi yao nafaai za uteuzi serikalini hasa Mdee wakiamini kufanya hivyo ni kuwakomoa CHADEMA wakati ni kuwamaliza kabisa kisiasa wanawake hawa.

Muda utahibitisha
Hapana nachojua watakimbilia mahakamani kuhoji uhalali wa kikao kilichowafuta uanachama then kesi itaenda hata mwaka mzima alafu ikishafika huko 2023 ndio watashindwa kesi maybe watarudi kuomba radhi kwa Kamati kuu Ili 2025 wapewe majimbo na viti maalum tena.

Sioni vipi Mdee ataenda CCM au ACT!! Na Umoja party ni kama Chaumma tu sidhani kama wataenda kuteseka kujenga chama kipya wakati tayari alikua ana wafuasi Malaki nyuma yake!!

Option iliyopo ni kuwalilia Kamati kuu iwaokoe Ili 2025 warudi upya kihalali
 
Back
Top Bottom