Utabiri: Halima Mdee na Wenzake 18 watahamia ACT Wazalendo au Umoja Party kama sio kuteuliwa Serikalini

Utabiri: Halima Mdee na Wenzake 18 watahamia ACT Wazalendo au Umoja Party kama sio kuteuliwa Serikalini

Niliuliza humu, jee walijiteua?. Je, wabunge 19 wa CHADEMA walijiteua? Je, CC ya CHADEMA ni Kangaroo Court? Je, Baraza Kuu litabariki ukangaroo ule?

Jee Una uthibitisho wowote kuhusu forgery?. Forgery ni jinai, hivyo ndio jinsi ya kushughulikia jinai?. Kwa nini wasiripoti polisi ili kufanya uchunguzi wa kijinai??

Nimeisha washauri...
P

Wakaripoti police hii hii inayotumika kubumba ushahidi dhidi ya wapinzani hususani cdm? Yaani cdm wategemee kupata haki kwenye vyombo hivi hivi vya dola vinavyotumika waziwazi kuwahujumu? Mahakamani unatakiwa uende mtu kama ww mwenye kinga ya ccm. Hatua walizochukua cdm ndio zilizo ndani ya uwezo wao, huko kwenye vyombo vya kimamlaka ccm ndio wenye maamuzi.
 
Naunga mkono hoja, baadhi yao, akiwemo Halima Mdee na Esta Bulaya, hawa ni wanasiasa very good assets kisiasa, Chadema turned these assets into liabilities. Kama hawakutendewa haki, kiukweli kabisa, karma itaitafuna Chadema!.
Karibu mitaa hii A Kangaroo Court Moja, Kutoa Hukumu Kikangaroo, Kisha Kikao cha Rufaa, Kikiyabariki Maamuzi yale ya Kikangaroo. Je, nacho ni A Kangaroo?, dhulma za aina hii, husababisha karma zisizo za lazima kabisa kwa Chadema kama chama, na kwa individual players!.
P.
Wewe huwa ni mnafiki sana ni kwa Bahati Mbaya wenye uelewa finyu wanakuona think tank humu,
 
Kikao cha Baraza Kuu Chadema, kimelazika, limebariki ule Ukangaroo uliofanywa na CC ya Chadema, uamuzi wa Baraza Kuu Chadema ni uamuzi wa mwisho, final and conclusive. Sijasikia popote juhudi zozote za kumtafuta aliyesaini barua ya uteuzi, sijasikia popote Chadema wakisema kuna forgery au kuripoti popote forgery ile, hivyo hoja za bandiko hili zinasimama, wabunge hao 19 wa Chadema, hawakujiteua wenyewe, waliteuliwa na kiongozi wa Chadema aliyesaini barua yao ya uteuzi!. Hakuna forgery yoyote iliyofanywa kwenye uteuzi wao ndio maana Chadema hawajaripoti forgery popote!.

Tena kiukweli, Halima Mdee ni mwanamke wa shoka kweli kweli nilidhani mbele vya kikao cha Baraza Kuu Chadema angesimama na kuyasema ukweli wa barua yao ya uteuzi, wajumbe wangebaki midomo wazi!.

Kama it's a battle, kina Halima have lost the battle, they have nothing more to loose au ni kukubali kufa kikondoo kwa kuisubiria karma iwalipie, au to keep on fighting hadi risasi ya mwisho na tone la mwisho la damu limwagike kwa kuhamishia mpambano kwenye wiwanja vingine vya Kisheria!.

Halima anamjua aliowasainia barua ya uteuzi, ili kumlinda, waliamua kunyamaza kwa imani kuwa atawaombea msamaha, kumbe... kwenye siasa hakuna rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu.

Life goes on
P

Zamani ulikuwa unapata vijitaarifa fulani fulani vya ndani, huenda ulikuwa unajuana na walevi fulani wa huko kunakojiita system. Ila sasa hivi umepoteza ramani kwani waliokuwa wanakupa vijitaarifa wengi ni wazee, na sasa wamestaafu. Walioko hawakujui hivyo huna taarifa zozote, bali umebaki kuwa mzushi, ndio maana unapost jambo hili kila uzi ili uhadae watu kuwa bado una uwezo wa kupata taarifa za ndani. Kwa bahati mbaya matamanio yako hayakuendandana na maamuzi ya wanacdm.

Kwa sasa umebaki kuanika frustration zako hapa jukwaani ukimwaga uchuro na uzushi ili kubaki relevant. Mzushi mwenzio Britannica yeye alijiapiza akina Mdee hawawezi kufukuzwa vinginevyo wakifukuzwa atajitoa jf. Matokeo yametoka kabaki kaduwaa anaongea utoto wa ajabu. Na ww uko kwenye route hiyo hiyo, unavalia kanzu maulid ambayo hujaalikwa, ili uonekane una hoja kumbe mbabaishaji tu. Umri ukisogea inabidi ukubaliane na matokeo tu mzee.
 
Naunga mkono hoja, baadhi yao, akiwemo Halima Mdee na Esta Bulaya, hawa ni wanasiasa very good assets kisiasa, Chadema turned these assets into liabilities. Kama hawakutendewa haki, kiukweli kabisa, karma itaitafuna Chadema!.
Karibu mitaa hii A Kangaroo Court Moja, Kutoa Hukumu Kikangaroo, Kisha Kikao cha Rufaa, Kikiyabariki Maamuzi yale ya Kikangaroo. Je, nacho ni A Kangaroo?, dhulma za aina hii, husababisha karma zisizo za lazima kabisa kwa Chadema kama chama, na kwa individual players!.
P.
Nani kawateua kuwa wabunge chama kinakataa nani aliyewateua mpaka kuapishwa kwa tashtiti

Mnaleta huruma kwenye Mambo ya kufuata misahafu
 
Sioni tatizo la hicho kifungu (d) kipo very clear kulingana na hali ya mambo ilivyokuwa wakati kina Mdee wakifukuzwa uanachama na KK.

Kifungu (b) kinatoa nafasi ya kujitetea, na kina Mdee walipewa nafasi hiyo na wenzake lakini hawakwenda.

Kutokana na pressure iliyokuwepo wakati ule kuhusu hili suala mwenye kulitolea maamuzi, naamini KK ndio maana iliamua kulitolea maamuzi bila kuwasikiliza kina Mdee, na KK wasingeweza kuwapa muda zaidi, hapa ndipo pointi ya dharura kwenye kifungu (d) inapoingia.
Nafikiri tunaongelea lugha moja...nilichofanya ni kutaka kumuonesha Mayala uhalali wa KK kufanya maamuzi bila kuwahoji kina Mdee unaotokana na kifungu (d)! kiufupi nililenga kumuonesha Mayalla kuwa maamuzi ya KK hayakuwa ya Kikangaroo court!
 
Huu ndio utabiri wangu kwa wale wabunge waliovuliwa uanachama na Baraza Kuu la CHADEMA.

Hata hivyo, Mama kupitia washauri wake, anaweza kuwapa baadhi yao nafaai za uteuzi serikalini hasa Mdee wakiamini kufanya hivyo ni kuwakomoa CHADEMA wakati ni kuwamaliza kabisa kisiasa wanawake hawa.

Muda utahibitisha.
😆😆😆😆😆😆
 
Back
Top Bottom