Utabiri: Halima Mdee na Wenzake 18 watahamia ACT Wazalendo au Umoja Party kama sio kuteuliwa Serikalini


Mkuu wa Wilaya, hangaika na walioko wilayani kwako bosi ya chadema yaache.

Karma ianze na damu za Wasukuma
 
Waende zao tu wakitaka hata ACT

Zitto Zuberi aliondoka kwa mbwembwe

Slaa Willy aliondoka

Chadema itadumu kama CCM inavyodumu
 

P,

Tatizo hawako clean wangesema wazi kuhusu kughushi form watu wangeweza kuwasamehe bila hivyo Chadema walikuwa hawana njia. Wangetakiwa kusema ukweli wote bila hivyo ni kuwa na mguu mmoja CCM.

Hawa madada ni liability kwasababu ya njaa zao na tamaa. Mbowe akiwa jela alimwita Mdee na kumpa second chance aseme ukweli, waachane na ubunge na Mbowe aliahidi kumtafutia kazi lakini hakuwa mwazi alikuwa hajui kama Mbowe atarudi na nguvu hivi. Alijua mbowe atafugwa …. Strategic wrong decision on Mdee side! Don’t bet against businessman
 
Pascal, you are useless! Kituko zima Kama wewe unashindwa kupata mantiki ya akina Halima . Unakera Sana...
 
Kwa hiyo Mzee Zitto ni mtu wa kula leftovers - ha ha ha
 
Yaani hata waende Ccm, habari yao ni kwishney. Yuko wapi Nasari? Yuko wapi Bananga? Yuko wapi Kalist Lazaro? Unaweza taja wengi sana lakini nyota zao zime zimika... CHADEMA ni mpango wa Mungu.. Yuko wapi Slaa? Amebakiakiropoka kama mbuzi alie kosa malisho..
 
Jitu hovyo wewe, ulimsaliti Kabendela kwa Jiwe. Shetani mkubwa we! Ulaaniwe
 
Watabaki Ccm kwani ndio iliyowakingia kifua na kupata posho za viti maalumu. Kuondoka Ccm ni kukata mrija wa posho
 
Vyovyote vile hawatuhusu sisi , mambo yao MaCCM watajuana wenyewe mzee Mdee na CCM yake.
 
Jitu hovyo wewe, ulimsaliti Kabendela kwa Jiwe. Shetani mkubwa we! Ulaaniwe
Huyu ni mmoja wa chawa wa magu ndugu...sasa hivi wanahangaika hawana wa kumchawia...maza hataki umbeya na majungu ya kijinga kijinga
 
KWA hiyo mkuu walichokifanya kujipeleka bungeni ni SAWA.??
 
Sioni tatizo la hicho kifungu (d) kipo very clear kulingana na hali ya mambo ilivyokuwa wakati kina Mdee wakifukuzwa uanachama na KK.

Kifungu (b) kinatoa nafasi ya kujitetea, na kina Mdee walipewa nafasi hiyo na wenzake lakini hawakwenda.

Kutokana na pressure iliyokuwepo wakati ule kuhusu hili suala mwenye kulitolea maamuzi, naamini KK ndio maana iliamua kulitolea maamuzi bila kuwasikiliza kina Mdee, na KK wasingeweza kuwapa muda zaidi, hapa ndipo pointi ya dharura kwenye kifungu (d) inapoingia.
 
Hizo zilikuwa siasa za shetani wa chato. Mpemba (mama) ana akili nyingi sana.

Hawezi kuwa na mambo kama ya yule fara
 
Kwasasa CCM inawenyewe akina Mdee wasiote hizo ndoto, imeshakula kwao wakitaka waibuke vema wakae miezi kadhaa waombee msamaha warudi Chadema nje ya hicho chama siwaoni wakifanikiwa kisiasa haswa kama wamelenga kuendelea kuwa Siasa za upinzani, ACT na Umoja party hakuna jipya, brand ya Chadema hata kama wewe ni mbovu inakubeba kwasasa maana wananchi wanalifahamu chama na wanajua madhila yaliyompata kiongozi wa chama na wenzake huruma ya wananchi inakibeba sana Chadema
 
Hao Magufuli ndio aliwadanganya akifikiri alikuwa anaikomoa Chadema hadi akamtoa mwingine magereza na kumpa ubunge.

Sasa ccm wakipenda wawachukue kwa sababu wameshakua political rejects ila ninachofahamu huko ccm nako kuna watu wanasota vibaya wakivizia uteuzi hivyo hawawezi wakakubali ujinga wa watu waliofukuzwa kutoka chama kingine kuja kupewa ulaji kwao, hiyo sana sana ilikuwa ni sera ya Magufuli na alikufa nayo.
 

Washawishi wajiunge ccm ili wapate mlo zaidi, au washauri wajiunge na chama chenu kipya cha wasukuma. Acha cdm ife kwa kuwakosa Halima na wenzake. Hao akina Halima walikuwa bungeni kwa kufoji nyaraka, wanaweza kuendelea kuwepo kwenye hilo bunge kibogoyo ili usiteseke.
 
Niliuliza humu jee walijiteua?. Je, wabunge 19 wa CHADEMA walijiteua? Je, CC ya CHADEMA ni Kangaroo Court? Je, Baraza Kuu litabariki ukangaroo ule? jee kwenye kikao cha Baraza Kuu, umesikia lolote kuhusu aliyewateua?. Unaamini walijiteua?.
P

Ulimuuliza nani? Humu jf sio ofisi za cdm, ungeenda kwenye ofisi zao ukapewe majibu, au kwakuwa ww ni mwanasheria ambaye hatujawahi kukuona ukifanya kazi hiyo zaidi ya porojo, nenda mahakamani ukawasaidie kupata haki yao. Huo ndio utakuwa muda sahihi wa kutudhibitishia kuwa ww sio mwanasheria vyeti, bali ni mwanasheria wa vitendo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…