Kikao cha Baraza Kuu Chadema, kimelazika, limebariki ule Ukangaroo uliofanywa na CC ya Chadema, uamuzi wa Baraza Kuu Chadema ni uamuzi wa mwisho, final and conclusive. Sijasikia popote juhudi zozote za kumtafuta aliyesaini barua ya uteuzi, sijasikia popote Chadema wakisema kuna forgery au kuripoti popote forgery ile, hivyo hoja za bandiko hili zinasimama, wabunge hao 19 wa Chadema, hawakujiteua wenyewe, waliteuliwa na kiongozi wa Chadema aliyesaini barua yao ya uteuzi!. Hakuna forgery yoyote iliyofanywa kwenye uteuzi wao ndio maana Chadema hawajaripoti forgery popote!.
Tena kiukweli, Halima Mdee ni mwanamke wa shoka kweli kweli nilidhani mbele vya kikao cha Baraza Kuu Chadema angesimama na kuyasema ukweli wa barua yao ya uteuzi, wajumbe wangebaki midomo wazi!.
Kama it's a battle, kina Halima have lost the battle, they have nothing more to loose au ni kukubali kufa kikondoo kwa kuisubiria karma iwalipie, au to keep on fighting hadi risasi ya mwisho na tone la mwisho la damu limwagike kwa kuhamishia mpambano kwenye wiwanja vingine vya Kisheria!.
Halima anamjua aliowasainia barua ya uteuzi, ili kumlinda, waliamua kunyamaza kwa imani kuwa atawaombea msamaha, kumbe... kwenye siasa hakuna rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu.
Life goes on
Wanabodi, Mimi kama kawaida yangu ni mtu wa maswali na hapa nauliza tuu, ila tuanze na kitu kinachoitwa first thing first Kwanza, Kikao cha Baraza Kuu la Chadema, ni kikao, halali, hivyo maamuzi yaliyofikiwa na kikao hicho, yamefikiwa kihalali kwa kufuata utaratibu, ila uamuzi huo ni uamuzi...
P