abdulatif himid
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 326
- 814
Tungeongea mengi,lakini humu watu Wana inferiority complex.Za kuambiwa changanya na za kwako.
Naijua Urusi Kinyume kinyume.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tungeongea mengi,lakini humu watu Wana inferiority complex.Za kuambiwa changanya na za kwako.
Una ujinga mwingi sana ,Urusi sio Libya, Urusu ni nchi yenye Vichwa vingi vya Nuclear, Nyambizi hatari sana na Intercontinental Balistic Misaile nyingi kuliko Taifa lolote lile.Nilazima tumsimamishe Putin. Nilazima ajuwe hii vita hatoshinda. NATO members ukisikiliza maneno ya viongozi wa NATO utajuwa kile kipo mbele Dunia ya majasusi.
Wanajambo lao ambalo huwendavmm na wewe hatujuwi wao hawatishii tumia nuke ila vifaa kulinda anga ya Ukraine hawatishii matumizi ya Silaha. Ni wapole ila wanakula kwa moto
Kabisa,Ulaya yoote ukijumlisha hawaifikii Urusi kwa ukubwa, silaha za nyuklia zote Duniani ukizijumlisha huwafikii warusi, Urusi amezamisha mavifaa ya nyuklia kwenye Ncha za kaskazini na kusini mwa Dunia yako kwenye barafu siku wakilianzisha hakutakuwepo na ulaya na Marekani yote
The man who see tomorrow 🫣Nilazima tumsimamishe Putin. Nilazima ajuwe hii vita hatoshinda. NATO members ukisikiliza maneno ya viongozi wa NATO utajuwa kile kipo mbele Dunia ya majasusi.
Wanajambo lao ambalo huwendavmm na wewe hatujuwi wao hawatishii tumia nuke ila vifaa kulinda anga ya Ukraine hawatishii matumizi ya Silaha. Ni wapole ila wanakula kwa moto
Chawa wa Putin nawakumbusha maneno Ya Rais mmoja kwenye moja ya vikao vya ndani "Tunao uwezo kumuondoa Putin ni swala la muda" Putin anahesabu siku zake watu wamesha asi inside secret service Ngoma ni nzito zaidi ya tunayo yaona kwenye mtandao NATO wapo kimyaaaaaaaa kuimaliza kazi kwa ubunifu wa hali ya juu wakimaliza wanaamia china 🫣🙈🤐Nilazima tumsimamishe Putin. Nilazima ajuwe hii vita hatoshinda. NATO members ukisikiliza maneno ya viongozi wa NATO utajuwa kile kipo mbele Dunia ya majasusi.
Wanajambo lao ambalo huwendavmm na wewe hatujuwi wao hawatishii tumia nuke ila vifaa kulinda anga ya Ukraine hawatishii matumizi ya Silaha. Ni wapole ila wanakula kwa moto
Best baada yakukutana na Putin afya imezidi kuwa mbaya achana na haya majamaa
Aanze kuwauwa Mayahudi woote Ambao wamejazana kwenye viwanda silaha vya urusiUlaya yoote ukijumlisha hawaifikii Urusi kwa ukubwa, silaha za nyuklia zote Duniani ukizijumlisha huwafikii warusi, Urusi amezamisha mavifaa ya nyuklia kwenye Ncha za kaskazini na kusini mwa Dunia yako kwenye barafu siku wakilianzisha hakutakuwepo na ulaya na Marekani yote
NATO inahusikaje kweny hiyo vita?Urusi hakuitaka hii Vita,walioanzisha vita ndio watakaoimaliza.
Hao Nato acha waruke waruke tu,mwisho wao tunaujua.
Watakuja wenyewe mezani,mikono nyuma.
Hii ni dalili ya kwamba maisha yako hayako mbali utajifia kwa magonjwaHivi kukubariwa kirahisi na mademu ni dalili ya nini? Yaan demu hakusumbui umegusa tu na yeye kanyooka mule mule alafu kageukia kibra hadi unajiuliza imekuaje hii? Yaan hata sijaimbisha mtoto tayari kajaa kwenye Mstari
Demi
Putin katili dikteta alimuua prigo. Na wapinzani wake wengineNilazima tumsimamishe Putin. Nilazima ajuwe hii vita hatoshinda. NATO members ukisikiliza maneno ya viongozi wa NATO utajuwa kile kipo mbele Dunia ya majasusi.
Wanajambo lao ambalo huwendavmm na wewe hatujuwi wao hawatishii tumia nuke ila vifaa kulinda anga ya Ukraine hawatishii matumizi ya Silaha. Ni wapole ila wanakula kwa moto
Is that only you know bro??? I request you to read more about rules and regulations of using NuclearUlaya yoote ukijumlisha hawaifikii Urusi kwa ukubwa, silaha za nyuklia zote Duniani ukizijumlisha huwafikii warusi, Urusi amezamisha mavifaa ya nyuklia kwenye Ncha za kaskazini na kusini mwa Dunia yako kwenye barafu siku wakilianzisha hakutakuwepo na ulaya na Marekani yote
Kitu ambacho mnajidanganya ni hiki: Russia hana mkono wowote kwenye hili, kwanza elewa policies za wenzetu sio kama Africa, kama kipaombele kilichoko ni kutoa siliha ukrain hata aingie mrusi kuongoza uk hamna namna itabadilika pale sio Africa kila rais anaingia na mambo yakePutin
Russia sio Bongo, Russia ni War mafia mpaka sasa amewaondosha mawaziri wakuu watatu wa Uingereza Boris Johnson out, Truss out, Rish sunak out, huyu naye akishupaza shingo steirmer ataondoka, Na Bado Biden ataondoka Urusi sio zimbabwe
Acha kukariri... Russia wa kawaida sana huko ukrane ana miaka mingapi?.... Ukraine kumuonyesha we mjinga kaamua kumfata kwake we HUOGOPI [emoji1787]Lile robot la USA linalosalimiana na upepo ndo linaweza kukata moto kwanza