abdulatif himid
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 326
- 814
TRUMP Anashinda huu Uchaguzi.Mark my Words.Umenisemea mkuu. Uko njema sana. Nilitaka kusema uchaguzi wa marekani una mchango mkubwa kujua hatma ya Ukraine na Mambo mengine. Akishinda Democrat Kutatokea maafa ya Damu nyingi kama kawaida yao, akishinda Republican urusi inapata tena nguvu.
Huenda warukuzi wa Russia wako Stand By kwa huu uchaguzi.