Utabiri: Huenda siku za Putin zinakaribia ukingoni

Utabiri: Huenda siku za Putin zinakaribia ukingoni

Umenisemea mkuu. Uko njema sana. Nilitaka kusema uchaguzi wa marekani una mchango mkubwa kujua hatma ya Ukraine na Mambo mengine. Akishinda Democrat Kutatokea maafa ya Damu nyingi kama kawaida yao, akishinda Republican urusi inapata tena nguvu.
Huenda warukuzi wa Russia wako Stand By kwa huu uchaguzi.
TRUMP Anashinda huu Uchaguzi.Mark my Words.
 
Ulaya yoote ukijumlisha hawaifikii Urusi kwa ukubwa, silaha za nyuklia zote Duniani ukizijumlisha huwafikii warusi, Urusi amezamisha mavifaa ya nyuklia kwenye Ncha za kaskazini na kusini mwa Dunia yako kwenye barafu siku wakilianzisha hakutakuwepo na ulaya na Marekani yote
Nikwamba mkuu unaijua urudi kuliko hata putin😂😂
 
Hizo ni dalili za madhara ya Silaha za nyuklia kabla haxijatumika....! Angalia ukiwa ukweni usinywe maji mengi inapoenda kulala😆😆!
Ebanae kwa hio ndio kusemaje?
 
Nilazima tumsimamishe Putin. Nilazima ajuwe hii vita hatoshinda. NATO members ukisikiliza maneno ya viongozi wa NATO utajuwa kile kipo mbele Dunia ya majasusi.

Wanajambo lao ambalo huwendavmm na wewe hatujuwi wao hawatishii tumia nuke ila vifaa kulinda anga ya Ukraine hawatishii matumizi ya Silaha. Ni wapole ila wanakula kwa moto
Akili zako ndogo vita siyo vya putin na NATO ni urussi na NATO tena putin wanamchokoza kwa sababu ni mstaharabu siku urusi ikiangukia mikononi mwa kichaa ndiyo utajua kuwa USA NA NATO NI SISIMIZI TU na ninacho kuambia hata NATO wanakijua ....Putin hapendi kutisha siku akija rais wa urussi mwenye kutisha ni lazima NATO walie na kusagameno.
 
FB_IMG_17192389111987784.jpg
FB_IMG_17191171707187527.jpg
FB_IMG_17191172432034957.jpg
 
Kusumbuana for what. You get what you wanted.
Kwani Putin mwenyewe anasemaje?
Aisee niliwahi ku-date binti mmoja wa kilokole sasa zikapita siku ikafika siku Mchungaji akawaambia Mwanaume wa hivi na hivi muache achana nae acha kua na Mwanaume wa hivi na hivi siku hio hio binti kamwaga manyanga nikaapa kwa Mungu mbinguni huko Juu km yupo kweli kwamba sitokuja kamwe kupita na Wanawake wa kilokole wale mikesha makongamano sijui semina zimefanyaje ebwana ni kisanga wale wote unaowaona mikeshamikesha sijui kufanya nini makolokolo kibao Mume wao wa kwanza ni Mchungaji yaan wewe Mwanaume umewekwa sub Mchungaji ndio anaesikilizwa zaidi km alama ya Mume sahihi na sio Wewe inafika hatua Mwanamke wa kilokole anaona Bora mara 800 angeolewa na Mchungaji tu na sio Wewe na unakua Mume wa Pili yaani anaanza Mume Mkubwa ambae ni Mchungaji alafu unafuata Wewe Mume wa Pili this is very stupidity

Wanawake wa kilokole wote unawaona km wameolewa Ila Mume wao wa kwanza ni Mchungaji
 
Ulaya yoote ukijumlisha hawaifikii Urusi kwa ukubwa, silaha za nyuklia zote Duniani ukizijumlisha huwafikii warusi, Urusi amezamisha mavifaa ya nyuklia kwenye Ncha za kaskazini na kusini mwa Dunia yako kwenye barafu siku wakilianzisha hakutakuwepo na ulaya na Marekani yote
Hayo ni machuma chakavu bro 🙄😜
 
Mimi nawaangalia tu hawa wajinga.Mimi Baba yangu mzazi ameishi Urusi zaidi ya Miaka 10 kwa Mafunzo.
Mzee wangu ananiambia anaogopa jinsi Urusi wanavyokuwa Provoked.
Anasema siku Urusi wakiamua kweli kwenda Vitani,siku hiyo ndiyo itakuwa Kiama.
Huyo Baba yako alikuwa mnywa vodka huko urusi
 
Putin

Russia sio Bongo, Russia ni War mafia mpaka sasa amewaondosha mawaziri wakuu watatu wa Uingereza Boris Johnson out, Truss out, Rish sunak out, huyu naye akishupaza shingo steirmer ataondoka, Na Bado Biden ataondoka Urusi sio zimbabwe
Utaratibu wa mawaziri wakuu wa uingereza kujiuzulu ni utamaduni wao. Anza na magreth Thatcher Hadi sasa bwana steirmer. Siasa za UK ziko hivyo
 
Back
Top Bottom