Utabiri: Huenda siku za Putin zinakaribia ukingoni

Una ujinga mwingi sana ,Urusi sio Libya, Urusu ni nchi yenye Vichwa vingi vya Nuclear, Nyambizi hatari sana na Intercontinental Balistic Misaile nyingi kuliko Taifa lolote lile.
 
Kabisa,
 
Urusi ndio ana techinolojia ya hali ya juu ya Jaming, uliza kule Ukrine, Urusi ana Jam hadi Satelite.
 
The man who see tomorrow 🫣
 
Chawa wa Putin nawakumbusha maneno Ya Rais mmoja kwenye moja ya vikao vya ndani "Tunao uwezo kumuondoa Putin ni swala la muda" Putin anahesabu siku zake watu wamesha asi inside secret service Ngoma ni nzito zaidi ya tunayo yaona kwenye mtandao NATO wapo kimyaaaaaaaa kuimaliza kazi kwa ubunifu wa hali ya juu wakimaliza wanaamia china 🫣🙈🤐
 
Labda
Aanze kuwauwa Mayahudi woote Ambao wamejazana kwenye viwanda silaha vya urusi
 
Urusi hakuitaka hii Vita,walioanzisha vita ndio watakaoimaliza.
Hao Nato acha waruke waruke tu,mwisho wao tunaujua.
Watakuja wenyewe mezani,mikono nyuma.
NATO inahusikaje kweny hiyo vita?
 
Hivi kukubariwa kirahisi na mademu ni dalili ya nini? Yaan demu hakusumbui umegusa tu na yeye kanyooka mule mule alafu kageukia kibra hadi unajiuliza imekuaje hii? Yaan hata sijaimbisha mtoto tayari kajaa kwenye Mstari
Demi
Hii ni dalili ya kwamba maisha yako hayako mbali utajifia kwa magonjwa
 
Putin katili dikteta alimuua prigo. Na wapinzani wake wengine

Karma inasubiri kumtafuna
Hii ni Sheria ya ulimwengu huu
 
Is that only you know bro??? I request you to read more about rules and regulations of using Nuclear
 
Ila Putin ni Mwamba kwani kabla ya vita vya Ukraine wanadamu duniani watu wenye maabara zao walikuwa wanatutisha sana kuhusu Corona, mara wimbi hili mara linazuka jingine, ili mradi tu wauze chanjo zao, Putin kunukisha kule Wanadamu wamepumua.
 
Putin

Russia sio Bongo, Russia ni War mafia mpaka sasa amewaondosha mawaziri wakuu watatu wa Uingereza Boris Johnson out, Truss out, Rish sunak out, huyu naye akishupaza shingo steirmer ataondoka, Na Bado Biden ataondoka Urusi sio zimbabwe
Kitu ambacho mnajidanganya ni hiki: Russia hana mkono wowote kwenye hili, kwanza elewa policies za wenzetu sio kama Africa, kama kipaombele kilichoko ni kutoa siliha ukrain hata aingie mrusi kuongoza uk hamna namna itabadilika pale sio Africa kila rais anaingia na mambo yake
 
Lile robot la USA linalosalimiana na upepo ndo linaweza kukata moto kwanza
Acha kukariri... Russia wa kawaida sana huko ukrane ana miaka mingapi?.... Ukraine kumuonyesha we mjinga kaamua kumfata kwake we HUOGOPI [emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…