Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Kutegemeana na ukweli wa mambo, huyu mwanamama anaweza kushindwa kuhimili aibu na fedheha itayomkuta na hivyo anaweza kujiondoa wakati wowote ule kuanzia sasa.
Ushauri:
Ndugu na jamaa zake, hasa Mumewe kama ameolewa, wawe makini na nyendo zake kwani kwa sasa hawezi kuwa yuko normal kisaikilojia ukizingatia nafasi kubwa aliyonayo katika jamii. Pia anyang"anywe silaha alionayo haraka iwezekanavyo.
Kitendo cha kuvuliwa madaraka hakiwezi kumuacha salama hasa katika kipindi hiki na ni wazi kuna jambo na taarifa zimemfikia boss wake, vinginevyo asingemuondoa kwenye hiyo nafasi.
Tujiepushe na ulevi wa madaraka.