Utabiri: Huyu kigogo anaetuhumiwa kufanya unyanyasaji, anaweza kujiondoa wakati wowote

Wewe unafikiria eti anaweza kujiua, wakati mwenzako anasubiria watu wasahau, ili arudishwe tena kwenye uongozi.

Uovu wa huyu unaweza kuulinganisha na wa Bashite? Kama wauaji na watekaji watu wamepumzishwa kisha wakapewa nafasi kuwa wasemaji wakuu wa chama, nini kitazuia Pauline kurudishwa ulingoni? Anapumzishwa kwa muda tu.
 
Nchi ya hovyo sana hii!
 

Hana mume, alishaachana na mume wake tangu alipopata ubunge kuanzia chama cha CHADEMA
 
Wanawake wengi hawana unajasiri wa kujimaliza, hilo ni pepo la wanaume kwa sehemu kubwa.

Awe mvumilivu tu, CCM huwa wanasameheana, hata ukifanya ujambazi wa kutumia silaha.
Namkumbuka Chenge na wale akina dada wa Bajaj. Nikipiga akili zaidi yapo makubwa zaidi ya hapo.
Hiki ni chama cha "Huyu ni Mwenzetu".
 
Suala hili watalichukulia serious kwa sasa kwani tunaelekea kwenye Uchaguzi. Hivyo lazima atokewe Kafara.

Laana ya ualiti haijawahi muacha Mtu salama. Bado wengine waliochanganyikiwa kama huyo Sweety wa watu.
 
Nitachangia viti na maturubai
 
Hakuna utabiri

Pdf imetoka wa 12 jioni

Acha ubwege
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…