Utabiri: Kagame kuchukua Eastern Congo, Kabale, Burundi, Kagera na Kigoma miaka ijayo

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Yeeeuuuuwwwwww!

Putin wa Afrika mwamba strong man Paul Kagame huenda akafanya ya Putin huko Ukraine na kuvamia kuchukua kwa nguvu Congo Mashariki, Kabale Uganda, Burundi, Kagera na Kigoma Tanzania.

Hayo yametabiriwa katika mahojiano na mwana JamiiForums gwiji na mchambuzi wa masuala ya usalama katika maziwa makuu Frenki Maghayo.

Maghayo amefafanua kuwa kutokana na uchumi wa Rwanda kuendelea kukua, technolojia, viwanda na nguvu za kijeshi, zitamfanya PK awe na kiburi na kuexpand his dinasty na empire katika nchi majirani zake.

Alimwelezea Kagame jinsi alivyochimba mkwara juzi akijidai nguvu zake za kijeshi na kiuchumi na kutishia anaweza peleka vita sehemu yoyote ile na kugawa dozi za uhakika.
 
Yeeeuuuuwwwwww!

Putin wa Africa mwamba strong man Paul Kagame huenda akafanya ya Putin huko Yukrein na kuvamia kuchukua kwa nguvu Congo Mashariki, Kabale Uganda, Burundi, Kagera na Kigoma Tanzania.

Hayo yametabiriwa katika mahojiano na mwana jamiiforums gwiji na mchambuzi wa maswala ya usalama katika maziwa makuu Frenki Maghayo.

Maghayo Aliendelea kufafanua kutokana na uchumi wa Rwanda kuendelea kukua, technolojia, viwanda na nguvu za kijeshi. Zitamfanya PK awe na kiburi na kuexpand his dinasty na empire katika nchi majirani zake.

Alimwelezea Kagame jinsi alivyochimba mkwara majuzi akijidai nguvu zake za kijeshi na kiuchumi na kutishia anaweza Peleka vita sehemu yoyote ile na kugawa dozi za uhakika.
Hata kama yeye ni CIA agent kuichukua kagera ndiyo hawezi Kamwe maana anajua anguko lake litaanzia hapo
 
Hizi ndoto huwa zinatokea ukitumia kinywaji gani?...vita sio kama unavyofikiria..
 
Yeeeuuuuwwwwww!

Putin wa Africa mwamba strong man Paul Kagame huenda akafanya ya Putin huko Yukrein na kuvamia kuchukua kwa nguvu Congo Mashariki, Kabale Uganda, Burundi, Kagera na Kigoma Tanzania.

Hayo yametabiriwa katika mahojiano na mwana jamiiforums gwiji na mchambuzi wa maswala ya usalama katika maziwa makuu Frenki Maghayo.

Maghayo Aliendelea kufafanua kutokana na uchumi wa Rwanda kuendelea kukua, technolojia, viwanda na nguvu za kijeshi. Zitamfanya PK awe na kiburi na kuexpand his dinasty na empire katika nchi majirani zake.

Alimwelezea Kagame jinsi alivyochimba mkwara majuzi akijidai nguvu zake za kijeshi na kiuchumi na kutishia anaweza Peleka vita sehemu yoyote ile na kugawa dozi za uhakika.
Hata kama Wanyarwanda wote wakiwa wanajeshi hyo uwezo wa kuidindia nchi kama Tanzania Rwanda Haina.

Kilichopo Ni stori za mbege tu, jua lizame.
 
Yeeeuuuuwwwwww!

Putin wa Africa mwamba strong man Paul Kagame huenda akafanya ya Putin huko Yukrein na kuvamia kuchukua kwa nguvu Congo Mashariki, Kabale Uganda, Burundi, Kagera na Kigoma Tanzania.

Hayo yametabiriwa katika mahojiano na mwana jamiiforums gwiji na mchambuzi wa maswala ya usalama katika maziwa makuu Frenki Maghayo.

Maghayo Aliendelea kufafanua kutokana na uchumi wa Rwanda kuendelea kukua, technolojia, viwanda na nguvu za kijeshi. Zitamfanya PK awe na kiburi na kuexpand his dinasty na empire katika nchi majirani zake.

Alimwelezea Kagame jinsi alivyochimba mkwara majuzi akijidai nguvu zake za kijeshi na kiuchumi na kutishia anaweza Peleka vita sehemu yoyote ile na kugawa dozi za uhakika.
Wakati anafanya hayo atakua na umri gani
 
Wanasema ukienda Ulaya leo unaweza kuzunguka nchi zote kwa visa moja bila kuulizwa mradi huvunji sheria.
Ukija Bukoba ni wazi lengo la Iddi Amin la kuvamia kimabavu M7 kalitimiza tayari bila hata kusukumana na mtu yeyote au hata kutukana, kwamba mkoa sehemu kubwa inaigegemea Uganda kwa umeme hadi bidhaa za kila siku kama mikate. Na Uganda tayari imekamata maeneo makubwa ya DRC na Sudan Kusini kama soko lake kama Kenya ilivyotugeuza sisi manamba wa kuwalimia mahindi na mchele alafu wanatuuzia bidhaa za viwanda vyao. Hata gesi tunawapelekea ili wazalishe zaidi na kutuletea hizo colgate zao.

Hoja yangu ni kwamba utawala wa siku zijazo ni wa uchumi zaidi na the smarter watatawala zaidi. Rwanda sasa ana kiwanda cha VW na kufikia 2030 wanaweza wakawa wanazalisha magari ya umeme na wakati huo diesel zipigwe marufuku kulinda mazingira, unadhani ni nini kitafuata?
 
Yeeeuuuuwwwwww!

Putin wa Africa mwamba strong man Paul Kagame huenda akafanya ya Putin huko Yukrein na kuvamia kuchukua kwa nguvu Congo Mashariki, Kabale Uganda, Burundi, Kagera na Kigoma Tanzania.

Hayo yametabiriwa katika mahojiano na mwana jamiiforums gwiji na mchambuzi wa maswala ya usalama katika maziwa makuu Frenki Maghayo.

Maghayo Aliendelea kufafanua kutokana na uchumi wa Rwanda kuendelea kukua, technolojia, viwanda na nguvu za kijeshi. Zitamfanya PK awe na kiburi na kuexpand his dinasty na empire katika nchi majirani zake.

Alimwelezea Kagame jinsi alivyochimba mkwara majuzi akijidai nguvu zake za kijeshi na kiuchumi na kutishia anaweza Peleka vita sehemu yoyote ile na kugawa dozi za uhakika.
Umekunywa nini papaa,urojo,rubisi,kimpumu,ulanzi au bangi za wapi!!
Kagame l,Rwanda iwe super power?!!!acha vichekesho,RPF imeishapigana vita gani?kama proxy war yake ya M23 iliSambarstishwa kabisa,ataweza vita za kiume,
Kagame anatumika kulinda maslahi ya magharibi kama Raisi wa Misri,siku wakimchoka watamuanzishia harakati,mara haki za binadamu,nk
 
Umelewa wewe si bure,mtu mmoja achukue kinguvu eneo la nchi 4? yaan atangaze vita na nchi nne? alafu nchi yenyewe ya kufanya hivyo ukubwa wake unalingana na mkoa mmoja wa nchi moja.
 
Kwanza siku zake zinahesabika huyo

Nafikiri mpaka 2023 hatoimaliza
 
Ni ngumu Sanaaa mkuu...Kuna watu Wana maadui Hadi kwenye nyumba na majengo wanazoishi/wanayoishi,hawana amani kabisa ni mwendo wa kujishtukia tu kila wakati...KUPE kibao,Hilo n ngumu...
 
Back
Top Bottom