nduza
JF-Expert Member
- Feb 7, 2019
- 1,595
- 2,503
Umetafakari kiasi gani ndugu mpaka kusema hivyoCha ajabu thread kama hii inaanzishwa baada ya mtu kutoka kijiwe cha bange.
kagame ni mtu smart mzee hayo yote yanawezekana sana wala siyo ya kubeza kabisa
lakini Tanzania huwa inajitathmini kijeshi kweli kwamba kenya wana nini kijeshi sisi tuna nini Uganda, Burundi, Rwanda au mnaona tu ni amani amani wanachukuliwa poa tu