Bado mchana mkuu kulala ni naiti. Sasa hivi naendesha ringiEndelea kuota..umekojoa lakin, au unasubiri kukojoa kitandani?
Hata kama yeye ni CIA agent kuichukua kagera ndiyo hawezi Kamwe maana anajua anguko lake litaanzia hapoYeeeuuuuwwwwww!
Putin wa Africa mwamba strong man Paul Kagame huenda akafanya ya Putin huko Yukrein na kuvamia kuchukua kwa nguvu Congo Mashariki, Kabale Uganda, Burundi, Kagera na Kigoma Tanzania.
Hayo yametabiriwa katika mahojiano na mwana jamiiforums gwiji na mchambuzi wa maswala ya usalama katika maziwa makuu Frenki Maghayo.
Maghayo Aliendelea kufafanua kutokana na uchumi wa Rwanda kuendelea kukua, technolojia, viwanda na nguvu za kijeshi. Zitamfanya PK awe na kiburi na kuexpand his dinasty na empire katika nchi majirani zake.
Alimwelezea Kagame jinsi alivyochimba mkwara majuzi akijidai nguvu zake za kijeshi na kiuchumi na kutishia anaweza Peleka vita sehemu yoyote ile na kugawa dozi za uhakika.
Hata kama Wanyarwanda wote wakiwa wanajeshi hyo uwezo wa kuidindia nchi kama Tanzania Rwanda Haina.Yeeeuuuuwwwwww!
Putin wa Africa mwamba strong man Paul Kagame huenda akafanya ya Putin huko Yukrein na kuvamia kuchukua kwa nguvu Congo Mashariki, Kabale Uganda, Burundi, Kagera na Kigoma Tanzania.
Hayo yametabiriwa katika mahojiano na mwana jamiiforums gwiji na mchambuzi wa maswala ya usalama katika maziwa makuu Frenki Maghayo.
Maghayo Aliendelea kufafanua kutokana na uchumi wa Rwanda kuendelea kukua, technolojia, viwanda na nguvu za kijeshi. Zitamfanya PK awe na kiburi na kuexpand his dinasty na empire katika nchi majirani zake.
Alimwelezea Kagame jinsi alivyochimba mkwara majuzi akijidai nguvu zake za kijeshi na kiuchumi na kutishia anaweza Peleka vita sehemu yoyote ile na kugawa dozi za uhakika.
Wakati anafanya hayo atakua na umri ganiYeeeuuuuwwwwww!

Umekunywa nini papaa,urojo,rubisi,kimpumu,ulanzi au bangi za wapi!!Yeeeuuuuwwwwww!
Putin wa Africa mwamba strong man Paul Kagame huenda akafanya ya Putin huko Yukrein na kuvamia kuchukua kwa nguvu Congo Mashariki, Kabale Uganda, Burundi, Kagera na Kigoma Tanzania.
Hayo yametabiriwa katika mahojiano na mwana jamiiforums gwiji na mchambuzi wa maswala ya usalama katika maziwa makuu Frenki Maghayo.
Maghayo Aliendelea kufafanua kutokana na uchumi wa Rwanda kuendelea kukua, technolojia, viwanda na nguvu za kijeshi. Zitamfanya PK awe na kiburi na kuexpand his dinasty na empire katika nchi majirani zake.
Alimwelezea Kagame jinsi alivyochimba mkwara majuzi akijidai nguvu zake za kijeshi na kiuchumi na kutishia anaweza Peleka vita sehemu yoyote ile na kugawa dozi za uhakika.
hahahahaAje Fasta mama anazulula tu