Umetafakari kiasi gani ndugu mpaka kusema hivyoCha ajabu thread kama hii inaanzishwa baada ya mtu kutoka kijiwe cha bange.
Nasikia ana kansaKwanza siku zake zinahesabika huyo
Nafikiri mpaka 2023 hatoimaliza
Oh kansa ?Nasikia ana kansa
huyo kagame na rwanda ni nani? huyo mi mwenyewe namtosha, saizi yangu huyo, atachapika kipigo cha mwizi wa kuku.Yeeeuuuuwwwwww!
Putin wa Africa mwamba strong man Paul Kagame huenda akafanya ya Putin huko Yukrein na kuvamia kuchukua kwa nguvu Congo Mashariki, Kabale Uganda, Burundi, Kagera na Kigoma Tanzania.
Hayo yametabiriwa katika mahojiano na mwana jamiiforums gwiji na mchambuzi wa maswala ya usalama katika maziwa makuu Frenki Maghayo.
Maghayo Aliendelea kufafanua kutokana na uchumi wa Rwanda kuendelea kukua, technolojia, viwanda na nguvu za kijeshi. Zitamfanya PK awe na kiburi na kuexpand his dinasty na empire katika nchi majirani zake.
Alimwelezea Kagame jinsi alivyochimba mkwara majuzi akijidai nguvu zake za kijeshi na kiuchumi na kutishia anaweza Peleka vita sehemu yoyote ile na kugawa dozi za uhakika.
As long as there is death there is hopeYeeeuuuuwwwwww!

Kwanini iwe "miaka ijayo"? Kwanini asichukuwe hivyo vipande na kuviunganisha sasa hivi?As long as there is death there is hope
Brother Theodore
Muda umemuacha ataondoka soon
πππππAje Fasta mama anazulula tu