Utabiri: Kagame kuchukua Eastern Congo, Kabale, Burundi, Kagera na Kigoma miaka ijayo

Pumba tupu akamuulize Idd Amini alipotaka kuchukua tarafa Moja tu ya Missenyi Nini kilimtokea we are silenci ila wanatujua hatuna maneno ya kanga eti kuimarika uchumi wa Rwanda ! angalia GDP yao afu uje uongee huu utopia
 
Hatuwezi kuhangaika na mtu ambae hadi kivuli chake anakiogopa
 
asijaribu kuigusa tz,2tamchamba wima,akiwa amesimama,2tamptishia tisuue ya kifuu!!
 
Kagame hata Burundi tu anamtoa jasho ndio aende kuimega Kigoma
 
Kwani ataishi milele huyo Putin wa Africa ?
 
What amazes me jamii ya Watutsi humuona PK km God father wao. Yaani unakuta hajawai fika hata Rusumo lakini ni ile tu kuwashwa na ukabila. Yaani mtaongea yoote ikifika hapo anabadili mtazamo.
 
Cha ajabu thread kama hii inaanzishwa baada ya mtu kutoka kijiwe cha bange.
Msiidharau bange kiasi hicho..[emoji28][emoji28][emoji28]

Wavuta Bange wote ni ma genius.. Yani wako smart in their own ways

Huyu labda kapiga double kick..
 
Ataishi milele?
 
Mwamba umeandika kwa kutumia shithole!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…