UTABIRI: Kocha wa Simba Fadlu Davids hana maisha marefu ndani ya klabu, atafukuzwa ghafla kabla ya Pasaka

Sawa kocha wa utopolo. Mwaka huu mtaumia sana lakini moyoni mwako unajua kabisa kuwa unaandika ujinga?
 
Reactions: Tui
Gamondi yeye hakufikisha hata krismasi
 
Kandanda unalijua, unachambua vyedi kabisaaa ingawa naamini Fadlu nae kichwa inafanya kazi atabadili mifumo
 
Huyo kocha ana mda gani hapa tanzania acha kuchambua kwa makosa au mbinu yeye mwenyewe anajua anachokifanya alafu usichokiona wewe ni kwamba makocha hao wanashindwa kujua jinsi ya kumzuia huyo kocha asipate ushindi unarudi uwanjani wachezaji wako wanakuangusha hapo kujua mbinu za mtu imekusaidia nini mkuu minziro alichokitaka ni goli siyo kumjua hajamjua chochote kile kuwa na akili saa zingine basi
 
Uelewa ni mdogo sana kwenu, Sisi tunaongelea mbinu za kiufundi ambazo anazo kocha wenu na atuangalii mechi Moja tu ya pamba, nimekwambia nimefatilia mechi karibu 4 zilizopita mbinu zake ziko vile vile azibadiliki, iyo mechi ya pamba ilikuwa ni mechi ya 5 kumfatilia ivyo isiwe kichaka cha kujifichia juu ya mechi ya kimataifa inayofata!
 
Wewe una cheti gani cha Ukocha?.Na ni
cha kiwango gani? Umefundisha timu ngapi?Kila mjinga amekuwa mchambuzi au kocha feki.
 
Performance ya Simba Imewachanganya utopolo kuazia Viongozi Mpaka Mashabiki
 
Haya

Simba vs Bravos

Kipindi cha kwanza Bravos wamecheza vibaya wakiwa wanakaa nyuma

Kipindi cha pili kocha wa Bravos kamsima Fadlu kaingia na mbinu ya jykabia mbele

Wakapata penati ila bahati haikuwa upande wa Bravos

Hapa unaona siku akikutana na kocha mzuri watapoteza
 
Vipi gongowazi bado una hang over ya viwili?Mechi za makundi kauli mbiu ni kushinda kwanza nyumbani. Muhimu ni pointi.
Vipi Gamondi kaondoka?Au mmemkopa?
 
Hakuna timu ambayo haipoteani Man City imepoteana mara ngapi mfululizo na Sindano FC je?.Hakuna timu ambayo haifungwi na Mpira ni mchezo WA makosa. Kunyweni maji mlale maumivu yanaendelea na timu ya MAJALIWA inawasubiri😂😂
 
Acheni ushirikina...
Mwalimu anafundisha wachezaji ndo wanapaswa kuwa creative...
Kwa sasa hatufukuzi kocha ng'ooo tumewachia nyie hizo mbanga...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…