UTABIRI: Kocha wa Simba Fadlu Davids hana maisha marefu ndani ya klabu, atafukuzwa ghafla kabla ya Pasaka

Leo kaanza vizuri waarabu wakamsoma kipindi cha pili wakajabkivingine simba akapigika
 
Kikombe tu cha kushirikishwa ulimi nje vipi ingekuwa kule kwa wanaume uyu kocha angekuwa anaingia na mabeki 7 badala ya 5 alioingia nao Leo,,na bado unapasuka unashindwa kulinda ulichonacho alafu useme Kuna kocha hapo🚮🚮🚮
 
Ulikuwa mbele ya muda saana na Hakika unaujua mpira vizuri

Jana ndio mbinu ambayo Singida waliingia nayo walikuwa wanakabia juu

TUTEGEMEE SIMBA KUPOTEZA ZAIDI KAMA KOCHA HATOBADILISHA MBINU
 
Ulikuwa mbele ya muda saana na Hakika unaujua mpira vizuri

Jana ndio mbinu ambayo Singida waliingia nayo walikuwa wanakabia juu

TUTEGEMEE SIMBA KUPOTEZA ZAIDI KAMA KOCHA HATOBADILISHA MBINU
GOLI LA FOUNTAIN KAFUNGA NANI
 
Ulikuwa mbele ya muda saana na Hakika unaujua mpira vizuri

Jana ndio mbinu ambayo Singida waliingia nayo walikuwa wanakabia juu

TUTEGEMEE SIMBA KUPOTEZA ZAIDI KAMA KOCHA HATOBADILISHA MBINU
Hamna kocha pale. Wanashinda mechi kwa kubebwa
 
Huu una akili, anazungumziwa kocha wa Yanga wewe unakuja kuizungumzia Simba
 
Huna akili wewe umekuwa akili umeziacha matakoni
 
Hivi bado faldu ajafukuzwa tu aise mbona tulikubaliana mwezi 12 hatiboi Sasa🤣🤣🤣🤣
 
Asante mchambuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…