TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
Nakukatalia mapema kabisa, Simba tukufungwa hiyo mechi haiwezi kuleta vurugu abadan. Haji ni mjinga hata wanasimba washamjua kuwa anatumika, mechi ikiisha anashughulikiwa na Simba kama club itaendelea na malengo yake, kumbuka Simba ya sasa inauongozi makini na mashabiki wa Simba pia wameshapevuka.Hiyo mechi iarishwe tu, maana italeta vurugu kwenye club ya simba endapo itafungwa, yule msemaji wao kajiweka pabaya kwa ku react negativelly kwenye mzozo wao. Suluhu ni simba kushinda tu hiyo mechi itatuliza mambo klabuni.
Tumeshakata tiketi Tangu Jumatano na Zinaendelea kuuzwa.. Nina tiketi yangu ya TSH 30,000 unadhani ni rahisi kurudisha pesa?Team zicheze bila mashabiki tuangalie kwenye tv tu na sio kufuta mchezo kabisa
Serikali ya Tanzania yatoa Katazo la Misongamano isiyokuwa ya lazima kukabiliana na UVIKOHabari wadau..!
Tukumbuke tarehe 25/07/2021 kutakuwa na mechi kati ya Simba na Yanga utabiri wangu unanambia hii mechi inaweza isichezwe...
Mkuu embu tuambie kuna ndugu yako yeyote ndani ya ukoo wenu umesikia amefariki kwa virus vya covid 19 Au tu kuumwa? Au kuna rafiki yako yeyote umesikia kakutwa na hiyo covid 19?Wakuu kwa kinachoendelea kuhusu Covid 19 ,chonde chonde naiomba serikali yetu sikivu iufute huu mchezo au kama unachezwa uchezwe kusiwe na mshabiki hata mmoja uwanjani...
Uhai ni muhimu kuliko hyo 30 yako au ukiwa una umwa na mitungi ya oksigen imeisha na ni ghali utajua hujuiTumeshakata tiketi Tangu Jumatano na Zinaendelea kuuzwa.. Nina tiketi yangu ya TSH 30,000 unadhani ni rahisi kurudisha pesa?View attachment 1864481
Leo hii Wapenzi wa Mkia mnaomba match ihairishwe?Uhai ni muhimu kuliko hyo 30 yako au ukiwa una umwa na mitungi ya oksigen imeisha na ni ghali utajua hujui
Match iendelee ila mashabiki wasiingie kuepusha misongamano