UTABIRI: Kuna uwezekano mechi ya Simba na Yanga ikaahirishwa

Acha ujinga.
 
Wapo sio mmoja.Wamekufa watatu,mmoja yuko ICU,wengine wamepona baada ya kukaa kwenye oxygen masaa zaidi ya 8 tena vijana wadogo.Hali ya uviko ni mbaya tukisema ukweli.

Mechi ichezwe bila mashabiki
 
Umeandika vema sana. Mashabiki wa simba ni waelewa mno.
Haji hana nguvu ya kuiyumbisha simba, zaidi yeye ndo atakayeyumba.
Kila lakheri kwa Mnyama 25 july huko Kigoma.
 
Mmeanza woga, subiri kwanza mnyooshwe 25 july
 
Wapo sio mmoja.Wamekufa watatu,mmoja yuko ICU,wengine wamepona baada ya kukaa kwenye oxygen masaa zaidi ya 8 tena vijana wadogo.Hali ya uviko ni mbaya tukisema ukweli.

Mechi ichezwe bila mashabiki
Wapo sehemu gani hao watu?
 
Nimepoteza mama,kaka mkubwa ndani ya wiki moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…