Kwani Samia alitegemea kuwa rais 2021?sasa raisi mtarajiwa vipi wakati uchaguzi mumegoma kushiriki? au 2030?
Kwani Samia alitegemea kuwa rais 2021?sasa raisi mtarajiwa vipi wakati uchaguzi mumegoma kushiriki? au 2030?
Inaonekana amri ilitoka kwa wanasiasa wa juu Toka ccm baada ya lissu kuingia kwenye ngome zao kusini kule mkoani Ruvumahawa huwa wanapuyangapuyanga tu yaan hata kama huna elimu kama mm unaona kabisa walikuwa wameshiba maharagwe kutengeneza kesi hyo!Sijui kwann huwa hawaangalii hata hulka ya mtu wanayemtengenezea kesi!Still mtu mwenyew ni high profile kwenye mfumo wa vyama vingi Tz..yanajisahau kuwa dev.partners wao nje kwasasa hawatak ujinga kama huu!
Ukiona mtu anapambwa sana ukue uwezo hana, ni namna ya kufunika madhaifu na kutafuta ushawishKnock out ya Mama 🤣🤣🤣
Tangazo limebandikwa pale magomeni Sokoni tena kuna billboards kama Tatu hivi.
Yaani hawa watu wamekosa hata uwezo wa kufikiria. Wamekuwa ni beggers tu kutegemea wakiandika vile pochi la mama litatema.
Kuna mambo inatakiwa yawekwe Sawa haraka sana.
We unaamini lissu kafanya uhaini? Dokta slaa alituhumiwa hivohivo wakati hata mambo hanaMimi naamini na nina uhakika Lissu LAZIMA AHUKUMIWE KUNYONGWA HADI KUFA maana hiyo ndio adhabu ya uhaini!
Hayo ni ya G55 sio lissuaende tu ikulu kama ataalikwa kunako maridhiano na akubali tu kushiriki uchaguzi bila reforms. Hayo ya reforms watayafanya wakikamata dola
Sana...jamaa ni hazina kwa taifaLisu anaweza kugoma kutoka jela Hadi aambiwe Yeye ni mhaini kiaje!
Kile kichwa acha tu,
Tupeleke watoto Shule jamani🤔
Kwa nini agome wakati mahakama imekubaliana na hoja zake?Vipi mgomo wa kula: alianza mgomo?
Unasema siyo utabiri lakini kwenye heading inasomeka ni utabiriNaweka wazi na huu uzi utabaki kuwa ushahidi.
Rais mtarajiwa wa jamhuri ya Tanganyika ndugu Antiphas Mwighai Tundu Lissu ataachiwa huru kabla ya may 19 siku ya kusikilizwa kesi yake.
DPP atatoka hadharani na kudai hana haja ya kuendelea na kesi hiyo bila kutoa sababu maalum.
Huuutabiri siyo bali ni hali ya mambo yanavyoendeshwa nchini kimzaha mzaha Tu.
Nyau de adriz
Labda uendaNaweka wazi na huu uzi utabaki kuwa ushahidi.
Rais mtarajiwa wa jamhuri ya Tanganyika ndugu Antiphas Mwighai Tundu Lissu ataachiwa huru kabla ya may 19 siku ya kusikilizwa kesi yake.
DPP atatoka hadharani na kudai hana haja ya kuendelea na kesi hiyo bila kutoa sababu maalum.
Huu siyo utabiri bali ni hali ya mambo yanavyoendeshwa nchini kimzaha mzaha Tu.
Nyau de adriz
Mimi ningelikuwa mfanya maamuzi, ningelihakikisha kesi hadi inafika mwisho. Hii mambo ya kuwasamehesamehe na kuwafutia kesi inawavimbisha sana kichwa wafuasi wao!We unaamini lissu kafanya uhaini? Dokta slaa alituhumiwa hivohivo wakati hata mambo hana
Hahahahaaaa, nimecheka sana mkuu.Lisu anaweza kugoma kutoka jela Hadi aambiwe Yeye ni mhaini kiaje!
Kile kichwa acha tu,
Tupeleke watoto Shule jamani🤔
Sijapenda kauli yako yenye viashiria vya mtu mkatili ya "Tundu ataendelea kunyea ndoo" Unafaidika vipi Tundu kunyea ndoo. Wewe unayenyea choo cha kukaa na kuflush yote si mavi tu ambayo hayana dhamani?Mei ilikwisha
June imeisha
Julai itaisha
Na Agosti hadi Novemba zitaisha
Tundu ataendelea kunyea ndoo
Manabii koko ENDELEENI Kutabiri