Utabiri: Lissu kuachiwa kabla ya Mei 19

Inaonekana amri ilitoka kwa wanasiasa wa juu Toka ccm baada ya lissu kuingia kwenye ngome zao kusini kule mkoani Ruvuma
 
Ukiona mtu anapambwa sana ukue uwezo hana, ni namna ya kufunika madhaifu na kutafuta ushawish

Wkt wa jpm tuli witness uchawa, but di wa level hii, hii ni too much
 
Unasema siyo utabiri lakini kwenye heading inasomeka ni utabiri
 
Labda uenda
 
We unaamini lissu kafanya uhaini? Dokta slaa alituhumiwa hivohivo wakati hata mambo hana
Mimi ningelikuwa mfanya maamuzi, ningelihakikisha kesi hadi inafika mwisho. Hii mambo ya kuwasamehesamehe na kuwafutia kesi inawavimbisha sana kichwa wafuasi wao!
 
Tundu lissu kweli akili kubwa sana. Yaani kwenda kupata matibabu Ubelgiji tayari amejenga network kubwa duniani kwa mabeberu kuliko marehemu Lowasa.

Kweli Elimu kitu kizuri hasa ikitua kwa mtu anayeelimika na.ana.akili na.sio kilaza au kabebwa na chama.

Nahisi pia Tundu lissu aliluwa akisoma PHD au anaendelea kusoma PHD ulaya maana anaandika sana research papers. Sio phd za mchongo za kuhonga upewe.
 
Mei ilikwisha
June imeisha
Julai itaisha
Na Agosti hadi Novemba zitaisha
Tundu ataendelea kunyea ndoo

Manabii koko ENDELEENI Kutabiri
 
Mei ilikwisha
June imeisha
Julai itaisha
Na Agosti hadi Novemba zitaisha
Tundu ataendelea kunyea ndoo

Manabii koko ENDELEENI Kutabiri
Sijapenda kauli yako yenye viashiria vya mtu mkatili ya "Tundu ataendelea kunyea ndoo" Unafaidika vipi Tundu kunyea ndoo. Wewe unayenyea choo cha kukaa na kuflush yote si mavi tu ambayo hayana dhamani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…