mema gani hayo zaidi ya kurudia rudia tu kusema mema memaa , alaa!
Wana Arusha wanakumbuka alimlaza LEMA CHRISTMAS HUKU WATOTO wa lema wakila sikukuu bila baba yao wakati yeye Gmbo akilala mount meru na familia yake, hilo ndio jema linalokumbukwa
We n'gojwa nini? yaani Rais Tundu Lissu ampe uwaziri Gambo?
Au hujui nani Rais ajaye?
Labda baraza la usuruhishi wa wanawake
Utabiri wangu, Moja ya vijana wachapa kazi wa CCM uwezi kuacha kumtaja Mrisho Gambo, Arusha ameacha alama kubwa sana kwa uongozi uliotukuka, changamoto za uongozi alizokutana nazo zitakuwa ni funzo kubwa sana kwa nafasi kubwa atakazo kujua kuzipata. Namtabiria kwa serikali inayokuja ataingia kwenye baraza la mawaziri kama Waziri kamili au Naibu waziri.
#Tukutane siku Rais akitangaza baraza la mawaziri.
Katika watu wasiostahili third chance ni huyu jamaa, how in the world Kijana wa umri below 40 years anapewa chance twice anaharibu kwa the Same mistakes? Does that mean huyu Tanzania Hakuna watu competent?
Huyu kamkosea sana Magufuli..... tena sana! Alionywa korogwe hakusikia, kaja Arusha, kaonywa hakusikia, sasa Ana matumizi gani? Huyu hata ubunge hapati hata afanyaje!
😂😂Labda baraza la usuruhishi wa wanawake
Utabiri wangu, Moja ya vijana wachapa kazi wa CCM uwezi kuacha kumtaja Mrisho Gambo, Arusha ameacha alama kubwa sana kwa uongozi uliotukuka, changamoto za uongozi alizokutana nazo zitakuwa ni funzo kubwa sana kwa nafasi kubwa atakazo kujua kuzipata. Namtabiria kwa serikali inayokuja ataingia kwenye baraza la mawaziri kama Waziri kamili au Naibu waziri.
#Tukutane siku Rais akitangaza baraza la mawaziri.
Gambo umeamua kuja kupima upepo JF
#Tukutane siku Rais akitangaza baraza la mawaziri.Unaota mchana?
Sishangai maana tumbua tumbua ya huyu mh. Haileweki hata lugola nae usishangae akaulaUtabiri wangu, Moja ya vijana wachapa kazi wa CCM uwezi kuacha kumtaja Mrisho Gambo, Arusha ameacha alama kubwa sana kwa uongozi uliotukuka, changamoto za uongozi alizokutana nazo zitakuwa ni funzo kubwa sana kwa nafasi kubwa atakazo kujua kuzipata. Namtabiria kwa serikali inayokuja ataingia kwenye baraza la mawaziri kama Waziri kamili au Naibu waziri.
#Tukutane siku Rais akitangaza baraza la mawaziri.
Sawa gambo tumekuelewa ila jitaid upate ubunge kwanza
Tofauti zao kubwa ni za kimadaraka. Mkurugenzi na Mkuu wa wilaya ndio walistahili kumsikiliza Mkuu wao wa mkoa na kuheshimu yale wanayokubaliana.
Iweje mkuu wa Mkoa asimamie nafasi yake then hawa wa chini yake wasimheshimu?? Wamdharau??
Tunajua Mrisho ni kijana mchapa kazi
Wangekutana na mtu kama Makonda mwenye nguvu na ushawishi kwa Rais hayo mambo ya ugomvi tusingeyasikia wangempa heshima yake.