UTABIRI: Mrisho Gambo kuingia kwenye baraza la Mawaziri

Mrisho bwana,naona umeanza kujipigia kampeni za Uwaziri..Ah Gambo uko mbali vuka kwanza kiunzi cha Ubunge kilichombele yako ni kizito mno kwa character yako.
hiyo ndo akili yako imekutuma mm ni Gambo, Huu ni utabiri tu usipaniki Mkuu

#Tukutane siku Rais akitangaza baraza la mawaziri.
 
Huyu ni gambo mwenyewe anajipamba tumemshtukia hana lolote
akili yako ndo imekutuma hivyo, huu ni utabiri tu usipani, Basi ngoja nikutabirie na wewe, kable mwezi huu haujaisha utaokota elfu kumi.
 
[emoji23][emoji23]ndoto hizii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 

Attachments

  • VID-20200619-WA0091.mp4
    1.2 MB
Gambo amekutuma kumuombea uwazr?
 
Arusha Mjini
Mrisho Gambo - 333 ✅
Philemon Mollel - 68
Albert Msando - 19
 

Kisiasa Kwa ccm Mrisho bado anakubalika nadhan majibu umeyapata ameongoza kura za maoni.

punguza chuki binafsi za kukosa mashamba sijui ulitaka kulima bangi?
 
Muongo mkubwa wewe!!! Udini udini udini, kawagawa wapi we muongo???
 
Huyo wanamkata.. ubunge hapati na mwaka huu wakikukata ukachepuka wanabomoa hadi nyumba zako
 
Huyo wanamkata.. ubunge hapati na mwaka huu wakikukata ukachepuka wanabomoa hadi nyumba zako

haaaah mkuu kura 333 kwa 68 sasa unamkataje aisee? Any way tuwaachie maamuzi kamati kuu!!

uongozi ni kuacha alama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…