Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
- Thread starter
- #61
Hahha hahah umenifanya nicheke kwa sauti nzito kama super sonicHapa ndipo ulipoharibu punguani wewe!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahha hahah umenifanya nicheke kwa sauti nzito kama super sonicHapa ndipo ulipoharibu punguani wewe!!
Niko hapa, sitiki wala sibanduki
Niko hapa, sitiki wala sibanduki
Eti utabiri! Nyinyi kwa sasa mkijitahidi ni sare tu. Uwezo wa kuifunga Yanga, hamna.Declaration of interest.
Mimi ni Yanga kindakindaki na sina mkia wowote maungoni mwangu na moyoni mwangu.
Utabiri huu umeegemea upande wa kiroho zaidi kuliko upande wa kimwili ambao unajumuisha ubora wa timu, ubora wa wachezaji mmoja mmoja, mbinu za uwanjani na za nje ya uwanja.
Jambo lolote lile liwe la heri ama shari huanzia rohoni na ndipo hudhihirika mwilini. Mechi ya Simba na Yanga imechezwa leo kwenye ulimwengu wa roho, na Simba imeshinda kwa bao 3 na Yanga wamepata 0.
Hongereni sana Mshana Jr, OKW BOBAN SUNZU , GENTAMYCINE na wana Simba wengine.
Yanga wenzangu tuanze kujiandaa tu kisaikolojia kukabiliana na huu ukweli mchungu.