Utabiri: PSG Ndio Mabingwa Wa UEFA Champions League 2021

umemaliza kila kitu
 
Chelsea akienda final akakutana na Man City hiyo game ndio itaisha first half, City bingwa.
Mbona kwenye nusu final ya FA game haikuisha first half ? Hadi wakafa 1bila?

Au man City walikuwa kwenye bonanza tu hawakuwa na shida na kombe la FA?

Mbona walihangaika sana na ToT kwenye final ya CA CUP juzi hapa hadi wakashinda kigoli kimoja kwa mbinde kwanini hawakuimaliza game first half?
 
Wanaobisha labda hawakuangalia kabumbu. City wako very calm hata kama wamefungwa wanajua kucheza kwa heshima. Tofauti na bayern munichen, bayern ni aggressive mbele ya gori ila ukiwatupitia na kuwazidi uwezo unaanza kuona watu waliopagawa.

PSG atatolewa tu hawana ujanja mechi iliisha jana. Kupata goli moja kwa man City ni shughuli sio ndogo je, kupata goli mbili.
 
Nikikumbuka lile shangwe baada ya kumfunga bayern halafu jana kafa ndio nawaona hawa jamaa ni malofa wa kutupa....

Pale england ana mlima mkubwa mno wa kupanda
 
binanza
 
Kwapa atanyanyua kama anajipu atumbuliwe, madrid na fainali za uefa ni kama uji kwa mgonjwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…