Utabiri: PSG Ndio Mabingwa Wa UEFA Champions League 2021

Ile game ya FA Guardiola hakuwa serious nayo, alipomuingiza Gundogan na Foden ghafla mambo yakabadilika bahati nzuri kwa Chelsea dkk zilikuwa zimeshaenda, naamini City akicheza na yoyote kati ya Chelsea au Madrid anachukua kombe, kuna kitu muhimu sana wameongeza kwenye mpira wao; DEFENCE, jamaa wamekuwa solid at the back mpaka nimeshangaa, & that guy Dias, to me is my man of the match today.
#steel.

City possesses quality everywhere, you need to be very lucky to beat 'em.
 
Aibu yako.

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
 
Imefika mahali uzi huu inamenibidi kuukana kwa nguvu zote kuwa sikuandika mimi.[emoji38]

Ni kawaida kwenye michezo prediction kwenda tofauti.

PSG iliyoingia final na Bayern ilikuwa one of the best, lakini wakazingua siku ile.

Kwa City ilikuwa ni 50 50 kabla ya game ya kwanza, ila baada ya yale matokeo nilijua uwanja umeinamia upande wa PSG.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…