kapo katoto ka kibrazili pale city kuna kipind Pep alikuwa anakipenda sanaKikoje hicho kitoto kilifanyaje
Acha upuuzi ,bora Man City maana wamehangaika Sana na hilo kombeUtabiri wako ni kama nauelewa japo moyo unauma natamani Real Madrid wabebe
Ni kweli mkuu kuna jamaa nilimwambia timu ya kuogopa ni hao jamaa yaani Madrid wakifikaga hapo hawajawahi kosea japo mechi za awali huwa wanatembelea ngekewaReal Madrid asingekuwepo sawa, Yaani hao jamaa wakifika hatua hiyo wanakuwa hatari kuliko stage za awali.....wanasenior players ambao hawahitaji motivation, wanajiongoza wenyewe na watabeba ndoo
Walishasahau watu naonaReal Madrid asingekuwepo sawa, Yaani hao jamaa wakifika hatua hiyo wanakuwa hatari kuliko stage za awali.....wanasenior players ambao hawahitaji motivation, wanajiongoza wenyewe na watabeba ndoo
Madrid hajawai toka hatua hii bila kombeAcha upuuzi ,bora Man City maana wamehangaika Sana na hilo kombe
Na wamestruggle sana na injuries.......wamefika hapo bila Hazard kuwa na mchango wowote....jiulize angekuwa fit 95% tu........Ramos akiongezeka inakuwa hatari zaidiNi kweli mkuu kuna jamaa nilimwambia timu ya kuogopa ni hao jamaa yaani Madrid wakifikaga hapo hawajawahi kosea japo mechi za awali huwa wanatembelea ngekewa
Lolote linaweza kutokea ila kuanzia hatua hii Madrid akiwepo, ogopa sanaMabingwa ni Man City
Bora PSG. Kombe halijaenda muda mrefu Ufaransa.Acha upuuzi ,bora Man City maana wamehangaika Sana na hilo kombe
Mbona huwa anafungagakapo katoto ka kibrazili pale city kuna kipind Pep alikuwa anakipenda sana
uwa kanaweza mpiga chenga had kipa alfu kufika golin kanabaki kanashangaa hakajui cha kufanya had kipa anaamka kule alipopigwa chenga anakuja kudaka mpira
Imani yangu kubwa Ni kwa Madrid mwenyeweUtabiri wako ni kama nauelewa japo moyo unauma natamani Real Madrid wabebe
Mkuu kauli yako naitunza pahala chini ya ulinzi mkali.isije kuibiwa baada ya PSG kutupwa nje.PSG itawachukua misimu 20 mbele kuja kubeba UEFA.
NB: Laminate hii comment.
Japo kwenye soka lolote linaweza kutokea,lakini prediction yako ndo matarajio ya wajuvi wengi wanaojua soka.Fainali zitaingia Manchester City na Real Madrid kisha Real Madrid atachukua kombe
Ananyanduliwa mapema asubuhiMsiichukulie poa Chelsea ya Tuchel. Yule Tactician na yeye ni mzee wa kutafuta matokeo.