Utabiri: PSG Ndio Mabingwa Wa UEFA Champions League 2021

Hapa tusubiri muda utaamua
 
Si sasa Liverpool pia hahikuwa vizuri.

Walikutana wote wanyonge ndio maana ukaona vile.
 
Kwa iyo psg atacheza na simbaklabu bingwa ya dunia....
 
Updates

Baada ya first leg matokeo yamekuwa yakishangaza kulingana na uzi wenyewe ila amini nawaambia wengi watashangazwa zaidi baada ya 2nd leg.

1st leg.

Real Madrid 1 - 1 Chelsea
✓Pulisic[emoji460]
✓Benzema[emoji460]

PSG 1 - 2 Manchester city
✓Marquinhos[emoji460]
✓De Bruyne [emoji460]
✓Mahrez [emoji460]

Hakika naendelea kuona PSG bado ana nafasi ya kusonga mbele vizuri kabisa kwa mpira niliyoona jana kwa zaidi ya dakika 50 alipiga mpira mwingi sana na hata Etihad nategemea wataweza kupindua meza vyema.

Real Madrid ana nafasi ngumu japo Chelsea waliweza kupambana na kucheza mpira mwingi ila pale darajani naona watalala na viatu pia naendelea kumpa nafasi Real Madrid kuendelea mbele.
 
Bado nampa nafasi PSG pia amekuwa na record nzuri toka mashindano yaanze akiwa ugenini.
 
ulikuwa unaangalia nyuma ya Tv psg alipiga mpira mwingi
 
naskia hajapiga ata shoot
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…