Mbape hajapiga shoot jana mkuuDunian sijaona baki wa kumkaba mbape.
ila mbape mpira anapo utoa ndo shidaa. Gardiola aachane na false 9 KDB acheze kati akiwa gundogan na Rodri kazi paris anakufa in and out. ila sasa Gardiola na kichaa chake cha false 9 atatuponzaa
Aliyetabiri Chelsea na mimi wa Man City tumesogea hatua mojaChelsea anatinga final. Then lolote linaweza kutokea kati yake na City au PSG
Mkuu Man City amecheza mpira kama dakika 35 za kipindi cha pili ila kwa dakika zote za mwanzo PSG alikuwa moto usiozimwa.ulikuwa unaangalia nyuma ya Tv psg alipiga mpira mwingi
kashashinda paris ngoja tuone huo uwanga wakoHii mechi ni ya kisasi kati ya Mauricio Pochetino na Pep Guardiola.
Man city atafungwa tena pale pale Etihad
Nitabet nimpe Chelsea japo odds zitakuwa chache kwake maana kila timu ina nafasiulikuwa unaangalia nyuma ya Tv psg alipiga mpira mwingi
Jana PSG wamezidiwa each and everythingGuardiola huwa hana mfumo wa kudhibiti individual players.
Yeye anachokifanya ni kuushikilia mpira wewe uhangaike kuutafuta na usifike kwenye final third yao.
Lakini kwa aina ya uchezaji wa PSG Man City atakuwa na wakati mgumu sana.
Kwanza PSG wanamachaguo mazuri kila angle ya uwanja kuliko Man city
Hivyo PSG kumfunga Man city itakuwa kazi rahisi labda kwa sababu mpira unaambatana na bahati yawezekana bahati ikawaangukia Man City.
yeah right!Habari.
Hadi sasa zimebaki timu nne ambazo zitacheza hatua ya nusu fainali na ratiba:
Leg 1.
27 April 2021 Tuesday
Paris Saint Germain Vs Manchester City
Real Madrid Vs Chelsea
Leg 2.
04 May 2021 Tuesday
Manchester City Vs Paris Saint-Germain
Chelsea Vs Real Madrid
Hapo bila kupepesa macho mpira anaocheza Paris Saint Germain dhidi ya kocha wao Pochettino umekuwa na nidhamu ya kutafuta matokeo tu hakuna kingine.
Hivyo basiasi ubishe usibishe Paris Saint Germain atakuwa Champion wa ligi ya mabingwa ulaya.
Final itachezwa 29 May 2021 Ataturk Olympics Stadium.
Final itakuwa ni Paris Saint Germain Vs Real Madrid na bingwa atakuwa Paris Saint Germain.
Updates. 29/04/2021
Baada ya first leg matokeo yamekuwa yakishangaza kulingana na uzi wenyewe ila amini nawaambia wengi watashangazwa zaidi baada ya 2nd leg.
1st leg.
Real Madrid 1 - 1 Chelsea
✓Pulisic[emoji460]
✓Benzema[emoji460]
PSG 1 - 2 Manchester city
✓Marquinhos[emoji460]
✓De Bruyne [emoji460]
✓Mahrez [emoji460]
Hakika naendelea kuona PSG bado ana nafasi ya kusonga mbele vizuri kabisa kwa mpira niliyoona jana kwa zaidi ya dakika 50 alipiga mpira mwingi sana na hata Etihad nategemea wataweza kupindua meza vyema.
Real Madrid ana nafasi ngumu japo Chelsea waliweza kupambana na kucheza mpira mwingi ila pale darajani naona watalala na viatu pia naendelea kumpa nafasi Real Madrid kuendelea mbele.
Nawasilisha Mzee Mkoloni.
Cc: Kichwa Kichafu
Endelea kuwapa nafasi hiyo ni sawa na.kuwapa nafasi Yanga ila ubingwa.hawatapata zaidi ya nafasi uliyowapaBado naendelea kuwapa nafasi Real Madrid pamoja na PSG kutinga fainali na PSG naendelea kumpa nafasi ya kutwa ubingwa.
nimeona kikosi mzee possession Man city 98 kwa 21 Ndiyo mara yake ya kwanza kuingia semi final.
2 Kwani round of 16 ni kuvuka robo finali ?
3 hata msimu huu mwisho wa Man city ni hapo mlipofika.
4. Kikosi kina Ander Herera, Gana Gueye Paredes, Marco Verrati, Dimaria, Mbappe na Neymar hiyo Man City inavyokuwa exposed nyuma itaponea wapi ?
Mbape toka azaliwe jana kacheza mechi hajapiga shootMan city kachapwa na Chelsea
Anaenda chezea kwa Mourinho
Akitoka hapo anaenda kubemendwa na mbappe/neymar
Chelsea vs Madrid 50/50 ila naona Madrid atakuwa na chance kubwa kama wachezaji wake muhimi wakipona majeruhi
Final Madrid vs Psg. Kwa beki nzee za Madrid sioni wa kukimbizana na mbape
Bado naendelea kuwapa nafasi Real Madrid pamoja na PSG kutinga fainali na PSG naendelea kumpa nafasi ya kutwa ubingwa.
Nimebadilika man city ana record mbovu home sio?Bado nampa nafasi PSG pia amekuwa na record nzuri toka mashindano yaanze akiwa ugenini.
kweli hayo ni mahaba aliye draw ugenini anapewa nafasi kupita kuliko aliyeshinda ugeniniChelsea anatinga final. Then lolote linaweza kutokea kati yake na City au PSG
Acha mihemko na kushabikia mashati ,...Bado nampa nafasi PSG pia amekuwa na record nzuri toka mashindano yaanze akiwa ugenini.
duh! uliangalia Tv gani city ka dominate game toka first half .Mkuu Man City amecheza mpira kama dakika 35 za kipindi cha pili ila kwa dakika zote za mwanzo PSG alikuwa moto usiozimwa.
soma vizur. mbappe mpira atakapo utoa ndo shidaMbape hajapiga shoot jana mkuu
Jana hajapiga shoot sasasoma vizur. mbappe mpira atakapo utoa ndo shida
Mbappe atapata wapi mpira. Timu nzima imeminywa. Naona kila timu ikicheza na City ni nusu uwanja na msako.soma vizur. mbappe mpira atakapo utoa ndo shida