Utabiri: Robo Fainali CAFCL, Nusu Fainali Mpaka Mshindi wa CAFCL

Utabiri: Robo Fainali CAFCL, Nusu Fainali Mpaka Mshindi wa CAFCL

Baada ya kuona Matokeo ya droo ya Timu zitakazocheza Robo Fainali hapa ni Utabiri wangu wa mechi za robo fainali..

kwa timu za Tanzania Yanga atajitutumua atatoa Droo Nyumbani ila Atafungwa Ugenini hivyo kuyaaga mashindano hayo..

Wakati huo Simba atafunga goal nyingi Nyumbani,Ila atafungwa akiwa cairo wingi wa magoal (Aggregate) Utambeba na hivyo kusogea Nusu Fainali..

Asec atafungwa na ES Tunis, Hivyo ES tunis Kupata nafasi ya kuingia Nusu Fainali pamoja na Masandawana..

Huku na huku Mazembe atamchapa Petro na kuingia Nusu fainali huku watashindana mazembe na Simba nusu fainali na Simba ataibuka Mshindi na kwenda kucheza Fainali na Mamelodi..

Japo atakuwa mshindi wa pili mamelod masandawana akichukua CAFCL.

View attachment 2932768
Simba ya fred?
 
Home: Simba 2-1 Al Ahly
Away: Simba 0-1 Al Ahly
NB: Endapo akidaka Youb au Ally Salim
***************************
Home: Yanga 0-2 Mamelod
Away:. Yanga 1-3 Mamelod
NB: Bila Aucho
***************************
Naweka mkeka wa 50k kila mechi mapema sana
 
Utabiri unaohusu michezo unaitwaje?
Kuna Tofauti kubwa kati ya Utabiri na ubashiri..
Okay lets get into education..

Predicting (Utabiri) involves making educated guesses or forecasts about future events based on analysis, trends, or available information.

Betting (Ubashiri) on the other hand, typically involves staking money or valuables on the outcome of an event with the hope of winning additional money or prizes.

Nyingine ni kuwa predicting is done for various purposes, such as strategic planning or decision-making,

wakati betting specifically involves risking something of value for a potential financial gain based on the accuracy of the prediction.

So i think you've got Something
 
CAF why always us🤣🤣Yaani CAF wamezionaje Timu za Tz kuziweka na wataka kombee. Al Ahaly tayari nusu yumo,Masandawane
 
Ukifikiria kwa makini kuhusu kauli ya Hersi akiwa kule Misri, pale aliposema kuwa fainali ni "Al ahly na Mamelod" utagundua kitu
 
Home: Simba 2-1 Al Ahly
Away: Simba 0-1 Al Ahly
NB: Endapo akidaka Youb au Ally Salim
***************************
Home: Yanga 0-2 Mamelod
Away:. Yanga 1-3 Mamelod
NB: Bila Aucho
***************************
Naweka mkeka wa 50k kila mechi mapema sana
Kishabiki sana
 
Huo uwanja wa taifa timu zote zitazokuja kucheza na timu za Tanzania, zitafungwa... Pale kushawekwa password kwa manufaa ya nchi kisoka... Yeyote lazima achakazwe pale
 
Hawa Simba wanaokata upepo second half? Hawa wanaoshindwaa kupata clean sheets game 3
 
Kwakuwa kimesemwa kitu unachohisi hakiwezekani kwenye mawazo yako?

Tusubiri Baada ya mwezi wa nne turudi tena hapa baada ya Nusu Fainali
Wazee walisiti, muje mufanye yenu huku.
Nahisi hii itakua risiti bora kuliko zote.
 
Back
Top Bottom