Utabiri: Robo Fainali CAFCL, Nusu Fainali Mpaka Mshindi wa CAFCL

Hawa Simba wanaokata upepo second half? Hawa wanaoshindwaa kupata clean sheets game 3
Simba hii hii ya kocha aliyejifungashia mwenyewe virago?

Simba ya sΓ sa ni mbovu haijawahi kutokea!

Try again, CEO, Mangungo na Mo ndiyo virusi. Bila kuondoka hao, wana simba wataendelea kupata vichomi tu.
 
β€œMamelodi Sundowns ni timu kubwa Afrika ila msisahau wanacheza mpira wa kufanana kama wetu, ndoto yetu ni kuwa kati ya timu tano bora Afrika ndio tunapaswa kucheza mechi kama hizi, naamini itakuwa mechi nzuri na hatupaswi kufanya makosa, sina shaka hatupaswi tu kufanya makosa, ndoto ni kuvuka hatua hii”

πŸŽ™οΈ Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Garmondi.

Via AZAM TV

#timuyawananachi
#daimambelenyumamwiko
 
FT
1_1
 

Attachments

  • 1710310174014.jpg
    125.5 KB · Views: 5
10 years Al ahly hajawahi tolewa robo fainali
Wewe misimu 4 mfululizo unatolewa robo fainali
 
Jana nilikuuliza wewe ni daktari wa nini hujanijibu.
 
Nilikuwa nimeanza kuamini utabiri wako uliposema"Kwetu" nikajisemea kumbe hizi ni chombeza za kibongo za kivyetu vyetu.
Kwetu watanzania wote..
Iwe ni Simba au Yanga ahly hana nafasi kwtu tena tushamzoea
 
KAMA WEWE NI DAKTARI NDIO MAANA MUHIMBILI BIANADAMU ALIPASULIWA KICHWA BADALA YA GOTI.

TANZANIA YANGU
 
Kwani Ahaly atacheza na timu zote 2 Simba na Yanga.
Hapana atacheza na simba kwenye Tarehe 29..
Nimesema kwetu zkwa sababu hata kama angepangiwa na Yanga,ahly Ni timu tulocheza nayo sana so huenda tunajua Strategies zao
 
Dr mpiga nyeto 🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…