Utabiri: Robo Fainali CAFCL, Nusu Fainali Mpaka Mshindi wa CAFCL

Al Ahly wajanja wajanja tu wanaweza kufungwa na Simba sema ni ujanja ujanja tu mechi ya kwanza wanakuja kupoteza muda na mechi ya pili baadhi ya maamuzi tata yanakua kwao huku wakiwa wamepata goli moja basi mechi inaisha hivyo hivyo...
 
Hao Al Ally wafanyiwe ule mkakati ulioitoa Zamaleki wakati ule, watu wabakie midomo wazi. Yanga wajipange watawamudu masandawane.
 
Fainali:- Yanga vs Al Ahly.
 
Fainali:- Yanga vs Al Ahly
Yanga watatawazwa mabingwa CAF 2024/25
 
Huu uzi naona una madini. Mleta uzi nakupongeza in advance kwa maono haya, wengine watakuja kukupongeza baada ya utabiri wako kutimia.

Nautunza uzi huu kwa ajili ya rejea ya baadae.
 
Ushuzi mtupu [emoji100][emoji100]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…