Zanzibar 2020 Utabiri: Samia Suluhu kuwa Rais wa Zanzibar, Dkt. Mwinyi kuwa Makamu wa Rais wa Tanzania

Mambo yameiva huko visiwani na jamaa wote wamechukua fomu. Kipande cha kwanza nimemaliza kinakuja cha pili mtifuano kwenye mchakato wa uteuzi.
 
Na Samia kachukua?
Sio wote wanaochukua fomu lazima wafanye mbwembwe. Yumkini kashachukua na kasharudisha. Yumkini Ni option mbadala amabayo inalindwa.
Soma ndoto vizuri halafu tafakari Kuna ulazima wa Samia kuichukua au anaweza teuliwa na cc ya CCM.
 
UTABIRI kumhusu Makamu wa R
UTABIRI kumhusu Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassani umeshindwa hata kabla jua halijachwa! Ni vizuri watu tuwe wavumilivu na tusubiri mambo yaende yenyewe. Hata hivyo kuchangamsha baraza kwa vijembe kama hivyoSI VIBAYA ili muda uende haraka. AU SIYO?
 
Allah atamfanyia atamfanyia wepesi Dr. Hussein na atakuwa rais ajaye wa zanzibar in 20 days time
 
Soma vizuri ndoto yangu. Nimewataja watu wawili wenye nguvu Makame na MWINYI. Nimeisemea mamlaka ya maamuzi ikilumbana vikali Sana. Muda wa ndoto ndio huu, na ule mgogoro ndio muda wake umewadia. Je, Ni kweli mzizano wao utailazimu kamati kuu kumteua Samia badala ya hawa wengine ili kuinusuru chama?
Let's wait and see , Ila muda ndio huu
 
Dr.Mwinyi anaelekea kukabidhiwa nyundo ya kuungoa Msumari wa mwisho wa jahazi la CCM,
Ndo hivyo mauti ni mauti tuu CCM ni lazima ikae matanga bada ya kuwa ICU kwa muda mrefu bila kuleta Matumaini ya kurejea fahamu zake na ilhali inazidi kudhoofika kila uchao.
CCM Bye ,CCM bye naiona kando kando ya kaburi ikingojea kutelemshwa kwenye mwanandani
Ahhaaaa ,kumbe nilikuwa naota?
 
Mwinyi ni kijana mzuri,lakini kwa Zanzibar yeye si kwao na haishi huku ,bali Wazee wake tuu ndio wennye asili ya Zanzibar.
Hata kusoma hakusomea huku .
Hana Marafiki,wala makundi,
Hjuwi janja weed wala vikosi vya CCM KVZ ,vya kufanya fuja na kupiga watu wasio na hatia.
Ikiwa atapewa Ridhaa au watapora kama kawaida yao, basi kazi ipo ya kuleta mtifuko mpya wasiasa Zanzibar.

Lakini na Ajiandae kupokea maiti ya CCM kaburini kwa mazishi ya heshima.
2020- mwisho wa CCM zanzibar naikiwezekana TZ
 
 
Inawezekana upo sahihi hasa kwa kufuata trend ya viongozi waliopita.Si Waswahili husema maji hufuata mkondo?!!!.
Mkondo wa urithi wa kiti cha urais wa jamhuri umembeba Samia Suluhu , leo hii ametimia maono angu

Kaka mkubwa ile incase imetimia, sijui tunaitae na ndotoo urais imetimia upande wa jamhuri. tukimaliza msiba tuliadili hili bandiko
 
Nitamshukuru kama SSH atawaondoa wale waliopata teuzi kwa kupiga debe na kuunga juhudi bila kuwa na sifa za kiongozi.
 
Nitamshukuru kama SSH atawaondoa wale waliopaya teuzi kwa kupiga debe na kufunga juhudi bila kuwa na sifa za kiongozi.
nyota ya urais imempenda mama SSH, tumalize msiba tulijadili na hili jambo kwa undani hata mimi sielewi
 
Nchi zetu hizi zenye demokrasia kiduchu bado sana kuongozwa na mwanamke. Tujenge kwanza misingi ya demokrasia na utawala bora ndipo wapewe nchi wanawake. Bado sana Afrika
kaka mwanamke kashachukua nci huku na leo kwenye speech kasema wanaohani mwanamke hawezi yeye kasshaweza na ngoma isambe
 
Njoo u edit thread yako we noma
 
The opposite is very true, Mwinyi will preside over Zanzibar in the interim of 5yrs before he becomes the URT President this is for sure. Best wishes Broo, I wanna be there so God keep alive to witness all this. I submit.
submission accepted!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mkondo wa urithi wa kiti cha urais wa jamhuri umembeba Samia Suluhu , leo hii ametimia maono angu


Kaka mkubwa ile incase imetimia, sijui tunaitae na ndotoo urais imetimia upande wa jamhuri. tukimaliza msiba tuliadili hili bandiko
Mbona kama utabiri wako uliingia chaka?
 
Yaani atoke uRais wa JMT aende Zanzibar 2025??.. kwanini usiwaze kwamba atapewa mitano Tena 2025-2030
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…