Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na Samia kachukua?Mambo yameiva huko visiwani na jamaa wote wamechukua fomu. Kipande cha kwanza nimemaliza kinakuja cha pili mtifuano kwenye mchakato wa uteuzi.
Sio wote wanaochukua fomu lazima wafanye mbwembwe. Yumkini kashachukua na kasharudisha. Yumkini Ni option mbadala amabayo inalindwa.Na Samia kachukua?
Pazia la kuichukua fomu za kugombea Urais Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi huenda likafunguliwa Rasmi muda wowote kuanzia mwezi Juni 2020.
Sina hakika na ndoto yangu, Ila haya ndio niliyoyaona ndotoni.
Nawaona wanaume wawili wakichuana vikali sana, kiasi kwamba wanarandama kwa sifa na haiba inayorandana Kila pahala. Wasomi Hawa wawili wa kiwango cha juu wanazidiana sifa moja tu.
Mmoja ameishi na kukulia Zanzibar na mwingine ameishi na kukulia Dar es Salaam.
Wanaume hao Ni Profesa Makame Mbarawa Mnyaa na Dkt. Hussein Mwinyi.
Naona ukungu mzito watu wengi wanabishana hapana huyu hajakulia na kuishi huku iweje tumkabidhi jukumu zito hivi wakati ana kila nasaba na watu wa bara. Safari hii hatukubali lazima tufanye tutakavyo sisi na sio wao.
Naiona busara kubwa ikitumika kumaliza mgogoro huu kwa turufu ya jinsia. Unazuka mjadala kama ndio hivyo basi wakose wote na akae mwanamke ili kuondoa dhana ya upendeleo na visa vya nani ni nani.
Namuona mwanamke mwenye sauti ya mamlaka na akitokea kwenye kiti chenye maamuzi mazito akikubali kubeba gharama za kuinusuru chama na mpasuko. Namfananisha na Samia Suluhu Hassan. Nyota yake Ni Kali sana na ndiye anayewatuliza wanaume hawa wawili kwa kuvaa kiatu cha kuwa mgombea Urais kwa tiketi ya CCM huko visiwani Zanzibar.
Ndoto yangu haiishii hapa, namuona Mwenyekiti na kamati yake wanajifungia kwa muda na hawa wanaume wawili Kisha wanakubaliana kitu.
Siku chache baadaye nawaona wanaume hawa wanaongozana hadi Dodoma.
Namuona Mwenyekiti wa wa CCM anapitishwa na wajumbe wa mkutano mkuu kuwa ndiye mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania.
Nawaona wajumbe wa CCM wanaenda chemba kunong'onezana na kisha Mwenyekiti wa muda anamtangaza Dr. Hussein Mwinyi kubeba bendera ya Chama kama Mgombea mwenza wa Magufuli.
Ndoto inaendelea nawaona wajumbe wakimtaja Profesa kama Makamu Rais wa Zanzibar.
Nawaona wakitoka na nyuso za furaha Kila mmoja.
Usingizi unakatika nashtuka najiuliza ni kweli au ni mawaa ya ndoto.
Ngoja tusubiri media confirmation, mimi nishamaliza ndoto yangu.
Updates :
Dr.Mabodi ameonekana kupitia habari ya saa mbili usiku leo akitangaza kuwa zoezi kuichukua fomu ya Urais Zanzibar limefunguliwa na mkutano wenye kuamua mgombea utafanyika dodoma.
Hii Ni kwa sababu mgombea wa CCM anateuliwa na Halmashauri kuu ya Chama ambayo inakutana makao makuu ya Chama Cha Mapinduzi pale dodoma.
Modes mnisaidie kuedit mbugi imeanza rasmi na tuone ndoto ikitimia au ikipotea
UPDATES
MEDIA CONFIRMATION # 1
HABARI ZA HUSSEIN MWINYI KUCHUKUA FOMU YA URAIS ZANZIBARView attachment 1483275
View attachment 1483276View attachment 1483277
MEDIA CONFIRMATION #2
PROFESA MAKAME MBARAWA MNYAA ACHUKUA FOMU YA URAIS ZANZIBAR
View attachment 1483275View attachment 1483276View attachment 1483277
MEDIA CONFIRMATION #2
PROESA MAKAME MBARAWA ACHUKUA FOMU YA URAIS ZANZIBAR

PROFESA MAKAME MBARAWA MNAA ACHUKUA FOMU YA URAIS ZANZIBAR
View attachment 1483288View attachment 1483289
lets continue to nomination stage,.........
UTABIRI kumhusu Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassani umeshindwa hata kabla jua halijachwa! Ni vizuri watu tuwe wavumilivu na tusubiri mambo yaende yenyewe. Hata hivyo kuchangamsha baraza kwa vijembe kama hivyoSI VIBAYA ili muda uende haraka. AU SIYO?Kwa dhana hiyo ya kupokezana vijiti vya Urais wa JMT, basi baada ya Dr Magufuli uwezekano wa kupewa Mama Suluhu ni mkubwa wakati huo Dr Mwinyi akiendelea kuwa Rais na M/Kiti wa Baraza la Mapinduzi, Zanzibar. Ikitokea hivyo, Makamu wa Rais wa JMT huenda akawa Mh Majaliwa na hao wawili wakampendekeza Jaffo kuwa Waziri Mkuu.
Nami ni ndoto tu. Nawatakieni mwanzo wa W/end njema, baada ya shamra shamra za Eid Mubarak, na "byebye" Mh COVID-19
Soma vizuri ndoto yangu. Nimewataja watu wawili wenye nguvu Makame na MWINYI. Nimeisemea mamlaka ya maamuzi ikilumbana vikali Sana. Muda wa ndoto ndio huu, na ule mgogoro ndio muda wake umewadia. Je, Ni kweli mzizano wao utailazimu kamati kuu kumteua Samia badala ya hawa wengine ili kuinusuru chama?UTABIRI kumhusu Makamu wa R
UTABIRI kumhusu Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassani umeshindwa hata kabla jua halijachwa! Ni vizuri watu tuwe wavumilivu na tusubiri mambo yaende yenyewe. Hata hivyo kuchangamsha baraza kwa vijembe kama hivyoSI VIBAYA ili muda uende haraka. AU SIYO?
Pazia la kuichukua fomu za kugombea Urais Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi huenda likafunguliwa Rasmi muda wowote kuanzia mwezi Juni 2020.
Sina hakika na ndoto yangu, Ila haya ndio niliyoyaona ndotoni.
Nawaona wanaume wawili wakichuana vikali sana, kiasi kwamba wanarandama kwa sifa na haiba inayorandana Kila pahala. Wasomi Hawa wawili wa kiwango cha juu wanazidiana sifa moja tu.
Mmoja ameishi na kukulia Zanzibar na mwingine ameishi na kukulia Dar es Salaam.
Wanaume hao Ni Profesa Makame Mbarawa Mnyaa na Dkt. Hussein Mwinyi.
Naona ukungu mzito watu wengi wanabishana hapana huyu hajakulia na kuishi huku iweje tumkabidhi jukumu zito hivi wakati ana kila nasaba na watu wa bara. Safari hii hatukubali lazima tufanye tutakavyo sisi na sio wao.
Naiona busara kubwa ikitumika kumaliza mgogoro huu kwa turufu ya jinsia. Unazuka mjadala kama ndio hivyo basi wakose wote na akae mwanamke ili kuondoa dhana ya upendeleo na visa vya nani ni nani.
Namuona mwanamke mwenye sauti ya mamlaka na akitokea kwenye kiti chenye maamuzi mazito akikubali kubeba gharama za kuinusuru chama na mpasuko. Namfananisha na Samia Suluhu Hassan. Nyota yake Ni Kali sana na ndiye anayewatuliza wanaume hawa wawili kwa kuvaa kiatu cha kuwa mgombea Urais kwa tiketi ya CCM huko visiwani Zanzibar.
Ndoto yangu haiishii hapa, namuona Mwenyekiti na kamati yake wanajifungia kwa muda na hawa wanaume wawili Kisha wanakubaliana kitu.
Siku chache baadaye nawaona wanaume hawa wanaongozana hadi Dodoma.
Namuona Mwenyekiti wa wa CCM anapitishwa na wajumbe wa mkutano mkuu kuwa ndiye mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania.
Nawaona wajumbe wa CCM wanaenda chemba kunong'onezana na kisha Mwenyekiti wa muda anamtangaza Dr. Hussein Mwinyi kubeba bendera ya Chama kama Mgombea mwenza wa Magufuli.
Ndoto inaendelea nawaona wajumbe wakimtaja Profesa kama Makamu Rais wa Zanzibar.
Nawaona wakitoka na nyuso za furaha Kila mmoja.
Usingizi unakatika nashtuka najiuliza ni kweli au ni mawaa ya ndoto.
Ngoja tusubiri media confirmation, mimi nishamaliza ndoto yangu.
Updates :
Dr.Mabodi ameonekana kupitia habari ya saa mbili usiku leo akitangaza kuwa zoezi kuichukua fomu ya Urais Zanzibar limefunguliwa na mkutano wenye kuamua mgombea utafanyika dodoma.
Hii Ni kwa sababu mgombea wa CCM anateuliwa na Halmashauri kuu ya Chama ambayo inakutana makao makuu ya Chama Cha Mapinduzi pale dodoma.
Modes mnisaidie kuedit mbugi imeanza rasmi na tuone ndoto ikitimia au ikipotea
UPDATES
MEDIA CONFIRMATION # 1
HABARI ZA HUSSEIN MWINYI KUCHUKUA FOMU YA URAIS ZANZIBARView attachment 1483275
View attachment 1483276View attachment 1483277
MEDIA CONFIRMATION #2
PROFESA MAKAME MBARAWA MNYAA ACHUKUA FOMU YA URAIS ZANZIBAR
View attachment 1483275View attachment 1483276View attachment 1483277
MEDIA CONFIRMATION #2
PROESA MAKAME MBARAWA ACHUKUA FOMU YA URAIS ZANZIBAR
View attachment 1483275View attachment 1483276View attachment 1483277
MEDIA CONFIRMATION #2
PROFESA MAKAME MBARAWA MNAA ACHUKUA FOMU YA URAIS ZANZIBAR
View attachment 1483288View attachment 1483289
lets continue to nomination stage,..utabiri umetimia katika upande mwingine wa Muungano ,kongole Rais Samia Suluhu Hassani
Mkondo wa urithi wa kiti cha urais wa jamhuri umembeba Samia Suluhu , leo hii ametimia maono anguInawezekana upo sahihi hasa kwa kufuata trend ya viongozi waliopita.Si Waswahili husema maji hufuata mkondo?!!!.
Kaka mkubwa ile incase imetimia, sijui tunaitae na ndotoo urais imetimia upande wa jamhuri. tukimaliza msiba tuliadili hili bandikoJapo ni kweli ki protokali VP ni mkubwa kuliko rais wa Zanzibar, ila kimamlaka, VP ni just a ceremonial position as a standby, in case something happens to the president, lakini hana mamlaka yoyote, hana powers zozote za kufanya chochote na hata akikaumu urais hawezi kusaini chochote, zaidi ya kutembea na mikasi na kumwakilisha rais kwenye events, lakini rais wa Zanzibar ni rais kweli wa nchi ndani ya nchi, ana dola, ana nguvu na ana mamlaka, hivyo kiutendaji Rais wa Zanzibar ana madaraka na mamlaka kuliko VP.
P.
Nitamshukuru kama SSH atawaondoa wale waliopaya teuzi kwa kupiga debe na kufunga juhudi bila kuwa na sifa za kiongozi.
nyota ya urais imempenda mama SSH, tumalize msiba tulijadili na hili jambo kwa undani hata mimi sielewiUTABIRI kumhusu Makamu wa R
UTABIRI kumhusu Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassani umeshindwa hata kabla jua halijachwa! Ni vizuri watu tuwe wavumilivu na tusubiri mambo yaende yenyewe. Hata hivyo kuchangamsha baraza kwa vijembe kama hivyoSI VIBAYA ili muda uende haraka. AU SIYO?
kaka mwanamke kashachukua nci huku na leo kwenye speech kasema wanaohani mwanamke hawezi yeye kasshaweza na ngoma isambeNchi zetu hizi zenye demokrasia kiduchu bado sana kuongozwa na mwanamke. Tujenge kwanza misingi ya demokrasia na utawala bora ndipo wapewe nchi wanawake. Bado sana Afrika
Njoo u edit thread yako we nomaPazia la kuichukua fomu za kugombea Urais Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi huenda likafunguliwa Rasmi muda wowote kuanzia mwezi Juni 2020.
Sina hakika na ndoto yangu, Ila haya ndio niliyoyaona ndotoni.
Nawaona wanaume wawili wakichuana vikali sana, kiasi kwamba wanarandama kwa sifa na haiba inayorandana Kila pahala. Wasomi Hawa wawili wa kiwango cha juu wanazidiana sifa moja tu.
Mmoja ameishi na kukulia Zanzibar na mwingine ameishi na kukulia Dar es Salaam.
Wanaume hao Ni Profesa Makame Mbarawa Mnyaa na Dkt. Hussein Mwinyi.
Naona ukungu mzito watu wengi wanabishana hapana huyu hajakulia na kuishi huku iweje tumkabidhi jukumu zito hivi wakati ana kila nasaba na watu wa bara. Safari hii hatukubali lazima tufanye tutakavyo sisi na sio wao.
Naiona busara kubwa ikitumika kumaliza mgogoro huu kwa turufu ya jinsia. Unazuka mjadala kama ndio hivyo basi wakose wote na akae mwanamke ili kuondoa dhana ya upendeleo na visa vya nani ni nani.
Namuona mwanamke mwenye sauti ya mamlaka na akitokea kwenye kiti chenye maamuzi mazito akikubali kubeba gharama za kuinusuru chama na mpasuko. Namfananisha na Samia Suluhu Hassan. Nyota yake Ni Kali sana na ndiye anayewatuliza wanaume hawa wawili kwa kuvaa kiatu cha kuwa mgombea Urais kwa tiketi ya CCM huko visiwani Zanzibar.
Ndoto yangu haiishii hapa, namuona Mwenyekiti na kamati yake wanajifungia kwa muda na hawa wanaume wawili Kisha wanakubaliana kitu.
Siku chache baadaye nawaona wanaume hawa wanaongozana hadi Dodoma.
Namuona Mwenyekiti wa wa CCM anapitishwa na wajumbe wa mkutano mkuu kuwa ndiye mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania.
Nawaona wajumbe wa CCM wanaenda chemba kunong'onezana na kisha Mwenyekiti wa muda anamtangaza Dr. Hussein Mwinyi kubeba bendera ya Chama kama Mgombea mwenza wa Magufuli.
Ndoto inaendelea nawaona wajumbe wakimtaja Profesa kama Makamu Rais wa Zanzibar.
Nawaona wakitoka na nyuso za furaha Kila mmoja.
Usingizi unakatika nashtuka najiuliza ni kweli au ni mawaa ya ndoto.
Ngoja tusubiri media confirmation, mimi nishamaliza ndoto yangu.
Updates :
Dr.Mabodi ameonekana kupitia habari ya saa mbili usiku leo akitangaza kuwa zoezi kuichukua fomu ya Urais Zanzibar limefunguliwa na mkutano wenye kuamua mgombea utafanyika dodoma.
Hii Ni kwa sababu mgombea wa CCM anateuliwa na Halmashauri kuu ya Chama ambayo inakutana makao makuu ya Chama Cha Mapinduzi pale dodoma.
Modes mnisaidie kuedit mbugi imeanza rasmi na tuone ndoto ikitimia au ikipotea
UPDATES
MEDIA CONFIRMATION # 1
HABARI ZA HUSSEIN MWINYI KUCHUKUA FOMU YA URAIS ZANZIBARView attachment 1483275
View attachment 1483276View attachment 1483277
MEDIA CONFIRMATION #2
PROFESA MAKAME MBARAWA MNYAA ACHUKUA FOMU YA URAIS ZANZIBAR
View attachment 1483275View attachment 1483276View attachment 1483277
MEDIA CONFIRMATION #2
PROESA MAKAME MBARAWA ACHUKUA FOMU YA URAIS ZANZIBAR
View attachment 1483275View attachment 1483276View attachment 1483277
MEDIA CONFIRMATION #2
PROFESA MAKAME MBARAWA MNAA ACHUKUA FOMU YA URAIS ZANZIBAR
View attachment 1483288View attachment 1483289
lets continue to nomination stage,.........
submission accepted!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!The opposite is very true, Mwinyi will preside over Zanzibar in the interim of 5yrs before he becomes the URT President this is for sure. Best wishes Broo, I wanna be there so God keep alive to witness all this. I submit.
Mbona kama utabiri wako uliingia chaka?Mkondo wa urithi wa kiti cha urais wa jamhuri umembeba Samia Suluhu , leo hii ametimia maono angu
Kaka mkubwa ile incase imetimia, sijui tunaitae na ndotoo urais imetimia upande wa jamhuri. tukimaliza msiba tuliadili hili bandiko
Sawa!Tatizo la tamaduni za kiislam ni kutokubali kirahisi kuongozwa na mwanamke. Kwa kutumia busara nje ya utamaduni inawezekana.
Sent using Jamii Forums mobile app